Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,102
- 23,690
Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.