Hivi kwa nini unayempenda....?

hahhaaaaaaa, mistari kitu gani?
maneno mengi fiksi tu, nakwenda kwa vitendo.
cheki avatar kwanza hapo kushoto!, spesho kwa ajili yake!.

kazi nzuri, huo ndo msuli nlotaka ukaze....

we burn mzuri sana kwa mistari wewe!!!!
 
we ndo kabisa, kila ukionacho wataka kiwe chakoooo!!! sasa tunamkuwadia GP!!! MPKA KIELEWEKE
halafu huyu mpwa Nguli si ndio mai hubby wako?, sasa inakuaje?, itabidi tuanzishe thread nyingine kujua kulikoni tena.
mpwa utamaliza bucha nyama ni ile ile, Lol.
 
Back
Top Bottom