Hivi kwa nini unayempenda....?

Hivi kwa nini unayempenda....?

Mh! haka kamjadala kamenda nilikuwa bize kidogo ngoja nisome kwanza majibu
 
Humpoteza mbwa? itakuwa faida kwangu maana katika kupotea lazima atadondokea kwangu.
aaaah mpwa Burn vipi bana?
mbona unacheza faulo sana, unaotea sana bana kama Thiery Henry, Loh.!
 
we binamu xpin-namfata ZD sasa hivi ...kumbe paka akitoka panya hutawala eeh
 
ngoja niende kwa PM, Loh.
wapwa wanahasira kama nini.
 
aaaah mpwa Burn vipi bana?
mbona unacheza faulo sana, unaotea sana bana kama Thiery Henry, Loh.!

mpwa pole kama ulikuwa hujui, kesi hii tuliimaliza siku ya kwanza kabisa wapwa wote walitoa baraka zao.
 
Humpoteza mbwa? itakuwa faida kwangu maana katika kupotea lazima atadondokea kwangu.

hahaaa unajidanganya Burn

Baby love...

Yes Gorgie!!!! hahaaaa ka nauona mtot alivobana pua!!!
 
Nipo maidia, nilikuwa naangalia kwa pembeni leo kuna kimeo humu ndani nahofu nisije haribu mood yangu bure, lakini sasa nimefurahi.
eeeh maana jana mpaka vina vikaisha kwenye mistari....u have to punguza spidi leo...
 
hahaaa unajidanganya Burn

Baby love...

Yes Gorgie!!!! hahaaaa ka nauona mtot alivobana pua!!!
hahahaaaaaa, dah I thank God for you!.
naamini wanawake huwa hamtupani kabisa, maana naona Carmel BHT wako upande wangu, Lol. ntawamwagia BANTA wote.
 
we binamu xpin-namfata ZD sasa hivi ...kumbe paka akitoka panya hutawala eeh

mi huyu leo ataambiwa 'nifumue hili weaving langu nataka kuretouch'...kisha nipike chapati za kusukuma, afu mtoto sijui kafanya.... utapata cha moto XPIN
 
mi huyu leo ataambiwa 'nifumue hili weaving langu nataka kuretouch'...kisha nipike chapati za kusukuma, afu mtoto sijui kafanya.... utapata cha moto XPIN

Hahaha! Leo kachupa ka limbwata nimekasokomezea darini.
 
Back
Top Bottom