Hivi kwa nini unayempenda....?

hahahaaaaaa, dah i thank god for you!.
Naamini wanawake huwa hamtupani kabisa, maana naona carmel bht wako upande wangu, lol. Ntawamwagia banta wote.

funga msuli huo usije ukakudondoka ukanitia aibu mie na carmel
 
funga msuli huo usije ukakudondoka ukanitia aibu mie na carmel
tuko pamoja,
unaonaje nianze kukuita wifi aaahhh, sore naanza kuchanganyikiwa asee, nikuite SHEMEJI??.
 
Tumeni picha zenu wewe na wenzio nitakayempenda huyo huyo na shule namaliza mwakani na ndoa juu

Nguliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wapi mpwaaaa?????? Peperusha zile picha fasta! Sio za fiesta, zile za get tugedha ndio bomba zaidi. Fasta fasta!
 
kuna mtu mmoja hapa anaitwa whocares ? mmenionea mabinamu hii topic inamfaa sana
 
nguliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wapi mpwaaaa?????? Peperusha zile picha fasta! Sio za fiesta, zile za get tugedha ndio bomba zaidi. Fasta fasta!

apeleke wapi?????????? Weee jianagalieeeeeeeee!!!
 
Nguliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Wapi mpwaaaa?????? Peperusha zile picha fasta! Sio za fiesta, zile za get tugedha ndio bomba zaidi. Fasta fasta!

Kama ilivyo ada naanza kuweka

MASANILO

xspin

FIDEL

geof

GEORGE P

Attachments

  • mrema.jpg
    mrema.jpg
    7.8 KB · Views: 61
tuko pamoja,
unaonaje nianze kukuita wifi aaahhh, sore naanza kuchanganyikiwa asee, nikuite SHEMEJI??.

ANZA TU, U CAN COUNT ON ME...ila huko mbele burn akiibuka sijui kama tutasurvive gharika la 'mistari' iliyosheheni vina
 
Kama ilivyo ada naanza kuweka

Nadhani ameniona mchuchu. Picha ya nne ndo mimi. Hapo ni baada ya kufakamia serengeti na kokoto. hapo ndio nilikuwa naenda kumsaidia mpwa fidel kukokota tukutuku lililofeli breki ya mbele.
 
ANZA TU, U CAN COUNT ON ME...ila huko mbele burn akiibuka sijui kama tutasurvive gharika la 'mistari' iliyosheheni vina
hahhaaaaaaa, mistari kitu gani?
maneno mengi fiksi tu, nakwenda kwa vitendo.
cheki avatar kwanza hapo kushoto!, spesho kwa ajili yake!.
 
Back
Top Bottom