Hao ni ccm hapo kuna mamilioni ya mama abdul wanagaiwa huoni jezi za mazombi zimejaaHivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Asilimia kubwa ni Wanawake na mabinti ambao ndo wahanga wakubwa wa serikali hiiHivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Tafiti zilishasema kuwa CCM inapendwa zaidi na wajinga ambao ni wengi zaidi TanzaniaHivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Hao ni sisi wa MikoaniHivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Mkuu wananchi wengine wametolewa Zanzibar wamelipiwa nauli za boat za kwenda na kurudi, nchi hii ni tajiriNchi ina wajinga wengi, hata ww ukianzisha kanisa leo kuna bata watajaa tu.