Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Jasnira

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
608
Reaction score
382
Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana umefanya uzinzi??, majumbani mwao wanawaonaje??. Kwa wanaume mbona wao ni baadhi sana tena married men, eti baadhi wanasema bf wanafanya hivyo as a sign hata akienda kucheat kwingine ashindwe kwenda.
Ila binafsi napenda nikimuona wanaume na love bite ila kwa wadada mmh!!!
 
Kuna teacher mmoja wa kiume wakati nipo A level, alisafiri kwenda kwa gf alikuwa mkoa mwingine ile kurudi love bite kibao mmh
 
Hebu tuelimishane hayo ma-bite...

mmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni
 
Ni utoto ndo tatzo?
Nimekuwa napata wakati mgumu sana wa kulielewa hali, mara nyingi napishana na mabinti wa rika la kuanzia 16- 20's hivi kwa kadilia wakiwa nayo shingo. Najiuliza hivi hawaoni aibu kuonekana umefanya uzinzi??, majumbani mwao wanawaonaje??. Kwa wanaume mbona wao ni baadhi sana tena married men, eti baadhi wanasema bf wanafanya hivyo as a sign hata akienda kucheat kwingine ashindwe kwenda.
Ila binafsi napenda nikimuona wanaume na love bite ila kwa wadada mmh!!!
 
Wewe hujwah kuwa nayo hayo malove bites?
 
kama nini????
ina raha zake !! wewe utajuaje km bint alikuwa na wake wakati unamsarandia?
Kwa watu weusi LoBite hamtapata ng'oooooooooooooooo
huo ni Uhuru wa mtu na ni sawa na mtu kuvaa chain mguuni hiyo ni kuonesha kuwa yeye ni .......
Au wengine kung'ang'ania kuvaa pete kidole cha mwisho cha Uchumba
,, ........,, ....... ,, kuvaa pete ya ndoa ni kukuonesha kuwa ana mwenzake

kwa hiyo Love bite ni kuwa KATA TAMAA MWENZAKO ANABANDUA MZIGO tena kwa wototo weupe huwa zinajulisha ni lini alikandamizwa kwani inapokuwa nyeusi na kufifia ndipo unapojua ni lini hivyo anatakiwa aweke mpya kila siku shingoni
Mimi nawekaga uvunguni
 
love bite ndio vitu gani?

Hata thijaelewa!

Hyo love bite ndo wadudu gan

Hebu tuelimishane hayo ma-bite...

Raha sana tena napendaaa maana inaonesha kama..........

mmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni
Love bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise like mark caused by the kissing or sucking of the skin, usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels under the skin.

Hickeys typically last from five to twelve days and may be treated in the same way as other bruises. Ways to reduce the appearance of hickeys include icing recent hickeys to reduce swelling, rubbing them with a chilled spoon to break up blood clots, and applying a warm compress to older hickeys to dilate vessels and promote blood flow.

h0740DC1B
images

l-Love-bite.jpg

1346466056-screenshot.jpg

bite-your-eays-couple-love-man-woman-Favim.com-160857.jpg

hickey.jpg

love%20bite.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom