Niliwahi kusikia toka kwa Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na plan za kufanya biashara flani na Serikali inawadhamini.Kuna yeyote aliyewahi kufanyia kazi hiki kitu halafu labda akafanikiwa au alikwama,tusaidiane kwa mwenye uzoefu wa hili.Nawasilisha