Hivi kunaaliyewahi kujaribu hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kunaaliyewahi kujaribu hii

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 10Shoka14, Aug 13, 2012.

 1. 1

  10Shoka14 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 281
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Niliwahi kusikia toka kwa Waziri wa Wizara ya Biashara na Uwezeshaji(Mh.Mary Nagu) kwamba graduates wanaweza kupewa mitaji iwapo watajiunga ktk vikundi na kuwa na plan za kufanya biashara flani na Serikali inawadhamini.Kuna yeyote aliyewahi kufanyia kazi hiki kitu halafu labda akafanikiwa au alikwama,tusaidiane kwa mwenye uzoefu wa hili.Nawasilisha
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,411
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Inawezekana alisema kipindi cha kampeni. Mbona harudii tena?
   
 3. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hilo changa tu,na mabilion ya kikwete yaliwafikia walengwa?
   
 4. M

  MI6 Senior Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Siasa na kazi!
   
Loading...