yan unaji downgrade...Yes n kweli nimeshatumia uc browser naikubali speed yake japo Kwa Sasa nipo operamini
Toa hiyo ni mini (ndogo)....Weka ile ya android (Mb 30)...Yaani ina-Load next page hata kabla ya ku-clickmkuu Mimi natumia ucbrowser mini mbona nashndwa kureply kwenye post za jf?
Ipunguzie mzigo kwa ku-clean history na mafaili mengine usiyoyatumia... iko poa sana....tatxo la uc browser inafika mahal inakuwa slow bora nibak huku
we unaitumia vp mkuu,mbna n easy san na haisumbui kureply....inakupa shida vp?mkuu Mimi natumia ucbrowser mini mbona nashndwa kureply kwenye post za jf?
No naipenda tu operaminiyan unaji downgrade...
Natumia huawei y530 nikidownload inaniambia hiviToa hiyo ni mini (ndogo)....Weka ile ya android (Mb 30)...Yaani ina-Load next page hata kabla ya ku-click
hio app inataka vitu ambavyo simu yako haina,
hio app inataka vitu ambavyo simu yako haina,
ni ucweb ipi hio? maana zipo nyingi kuna HD, ya tablet, uc mini etc
ni "ucbrowser fast download" pia Niki download hiyo ucbrowser smooth inakubali ila jf nashindwa kufanya replyhio app inataka vitu ambavyo simu yako haina,
ni ucweb ipi hio? maana zipo nyingi kuna HD, ya tablet, uc mini etc
pengine hio smooth ni uc mini, hio mini haikubali jf mpya.ni "ucbrowser fast download" pia Niki download hiyo ucbrowser smooth inakubali ila jf nashindwa kufanya reply
Hongera Mkuu kwa msaada wako....pengine hio smooth ni uc mini, hio mini haikubali jf mpya.
jaribu kudownload nje ya store apk ya ucweb tumia link hii
UC Browser 10.10.0.796 (arm) (nodpi) (Android 2.3+) APK Download by UCWeb Inc. - APKMirror
ikikataa tumia version ya zamanii kama hii
UC Browser 10.2.0 (arm) (nodpi) (Android 2.2+) APK Download by UCWeb Inc. - APKMirror
unataka kutumia kwenye nini, maana swali lako liko too general...!coz hata hzi Comp program zina specific requirements zake?Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome
nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka