Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome

nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
For me kuna browser inaitwa maxthone ni kali balaaa sifa zake
1. Multwindow maanake Unaweza kusign na na mtu ukishamaliza asione ulichokuwa unafanya
2. Kwangu mm sipendi matangazo hapa ndo komesho ya Ads zote hazitaonekana inablock juukwaju
3 iko simple sana sio nzito kwenye streaming life mpira movie
Iko private sana
Nimeitumia tangu 2012 tafuta uichukue iko poa sana sana
Kama unatumia simu uc browser is best opera chrome akina firefox hawaoni ndan
 
maxthon ilinishindaga 2014...labda saiv wawe wameboresha
 
hiyo ucbrowser ina adblock wakuu??... maana sipendag ads
 
unataka kutumia kwenye nini, maana swali lako liko too general...!coz hata hzi Comp program zina specific requirements zake?
kwenye pc japo naona watu wengi walidhan nahitaj kwa ajili ya simu
 
The best browser compatible for any os and network ni mozilla firefox
 
Natumia huawei y530 nikidownload inaniambia hivi
b88d380981e8559b5ae69674ee1db998.jpg

Cc Chief-Mkwawa
Achana na kupakulia play store we ingia Google search uc browser apk ila make sure Kule setting ume allow non play store apps
 
uc browser ya simu mwisho tab 10 tu
ila speed ni best
ila opera min wapo vizuri kimuonekano hata utumiaji ni rahisi
Opera mini pia ni nzuri kwenye slow connections ukiset kwenye xtreme mode
 
yani mm nina browser tatu, mozilla fir fox, chrome na operamin. lakini naielewa opera peke yake. zingine naona wanazingua tu.
 
Mimi nimeshatumia zote lakini, Opera Min wataendelea kuwaburuza sana izi browser nyingine kwa apa kwetu Africa .
Kwasababu ina pambana na weak signal, kama net ipo slow yenyewe inapasua mawimbi tu.
Operamin huwa naaita roho ya paka.
 
Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome

nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
Hii ni mwisho wa matatizo wcb hebu jaribu
 
Hivi uc browser inapatikana pia kwenye Laptop window 10? Mimi naikubali sana Hii uc kwenye simu niambieni kama ipo version ya PC nipakue

Mm natumia kwenye window7 ambayo ni version ya pc speed ni balaa zaidi kuliko hata uc ya kwenye simu
 
Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome

nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
kwa upande wa pc google chrome wameiboresha sana inaelekea kuwa kama standalone OS kwa baadae.
mozilla walijaribu but hawajaweza kufika walipo fika google.
kwa sasa mpaka apps za andoid unaweza zitumia kwa pc kupitia platform ya google chrome.

kwa ujumla kama unaongelea ubora katika upande huo basi chrome haina mpinzani
 
UC naona ni mbovu muonekano wake ndiyo usipime google ndiyo mpango
 
Back
Top Bottom