Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

Hivi kuna web browser inayoizidi Google chrome

Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome

nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
Baki na Chrome tu Mkuu
 
ku download kwa simu UC Browser ni nzuri sana, kutembelea page opera ni nzuri
 
Mleta mada haujawa specific kama ni browser ya simu au pc au mac

Lakini kwa kupitia uzi huu nimegundua unamaanisha browser ya pc
So far Chrome ni the best kama tu pc yako ina specifications za uhakika maana ina uzito mkubwa kwenye matumizi ya RAM

Mozilla ipo vizuri sana sema ina tatizo la ku stuck na crash za hapa na pale

Opera nayo sio mbaya sana
 
Back
Top Bottom