ile blog kaiita blog ya jamii lakini mimi naiita blog ya ccm.
Nilikua namheshimu issa michuzi lakini kutokana nakutokua na balance katika utoaji wake wa habari blog yake wala hata sipotezi muda wangu kuitembelea.
Ningefurahi kama ingeanzishwa blog na mtu mwingine ambaye sio mrambaji wa serikali.
Kuanzia leo bye bye maggid bye bye issa michuzi.
michuzi ni mchumia tumbo, anayoyafanya katika blog yake utafikiri sio wa this generation- SHAME!!!
duh! Kaka kwanza ndo kwanza umenikumbusha kuna hiyo hiyo blog, kwa kweli sikumbuki lini nilipitia kule..(
mi nshafunga ndoa na jamiiforums, afu na hawa mafisadi wanavyotishia kuifungia wananitisha acha tu..