Hivi kuna watu bado wanatembelea blog ya Michuzi?

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Ile Blog kaiita blog ya Jamii lakini mimi naiita blog ya CCM.
Nilikua namheshimu Issa Michuzi lakini kutokana nakutokua na balance katika utoaji wake wa habari blog yake wala hata sipotezi muda wangu kuitembelea.

Ningefurahi kama ingeanzishwa blog na mtu mwingine ambaye sio mrambaji wa serikali.

Kuanzia leo bye bye Maggid bye bye Issa Michuzi.
 
Ni katika nyakati kama hizi utawajua wachumia tumbo ambao personal interests ziko mbele ya kila kitu. Michuzi anategemea atapata promotion ya kuwa nani sijui. Priority zake ni CCM, watu wa pwani(?) na watu wa aina fulani. Kuna sites kama: www.tanzanianewslink.com - HOME imetulia mno! wanatoa elimu, serious information,period!
 
Umenichekesha, lakini kicheko cha huzuni, kwamba vyombo vyetu vya habari robo tatu kama havimiliwi na ccm moja kwa moja basi vinamilikiwa na cham hicho indirect na hii inatokana na watoa habari kuwa watu wa kuvizia opportunities in the ruling part. Mwanzani nilidhani blog ya michuzi ni mali halali ya ccm kwa sababu badala ya kutoa taarifa inafanya kampeni.
Tunahitaji ukombozi wa fikra katika taifa letu kwanza kwa mtu mmoja mmoja kisha taifa lote kwa ujumla wake
 
Duh! kaka kwanza ndo kwanza umenikumbusha kuna hiyo hiyo blog, kwa kweli sikumbuki lini nilipitia kule..(
Mi nshafunga ndoa na Jamiiforums, afu na hawa mafisadi wanavyotishia kuifungia wananitisha acha tu..:(
 
Nani asome blog ya michuzi labda kama unataka uone sura za vimwana waliovaa vimini. Hakuna kitu kule zaidi ya ccm.
 
Mtu anaenda ulaya anapiga picha ameshika mkuyati anaweza kuwa natija kwa tz?tujue anazimia mkuyati??shame!
 
mjengwa na michuzi blogs ni upuuzi mtupu nani asome watu wanaouma na kupuliza hawa. Hawa watu wawili ni kama panya wanatafuta matundu ya kujihifadhi.
 
michuzi ni mchumia tumbo, anayoyafanya katika blog yake utafikiri sio wa this generation- SHAME!!!
 
ile blog kaiita blog ya jamii lakini mimi naiita blog ya ccm.
Nilikua namheshimu issa michuzi lakini kutokana nakutokua na balance katika utoaji wake wa habari blog yake wala hata sipotezi muda wangu kuitembelea.

Ningefurahi kama ingeanzishwa blog na mtu mwingine ambaye sio mrambaji wa serikali.

Kuanzia leo bye bye maggid bye bye issa michuzi.

yes tupo wengi mbona..
 
ananjaa yule michuzi.mtu mzima anajikombakomba kwa ccm.hata akiambiwa amtoe mke wake awe mali ya ccm atakubali.njaa mbaya bwana.
 
Michuzi ni mjanja wa mjini tu..ya walewale wenye mentality ya changudoa ukimuonesha hela yuko tayari kusaula kwene kadamnasi..sioni hata sababu ya kumfungulia thread.
 
Nilikuwa siachi kucheki blog ya misupu on a daily basis. Lakini kipindi cha uchaguzi ndiyo ndiyo nikajua sura halisi ya misupu. Blog iko so biased. Itakuwa imeloose popularity kwa kiasi kikubwa.
 
duh! Kaka kwanza ndo kwanza umenikumbusha kuna hiyo hiyo blog, kwa kweli sikumbuki lini nilipitia kule..(
mi nshafunga ndoa na jamiiforums, afu na hawa mafisadi wanavyotishia kuifungia wananitisha acha tu..:(

hata mimi sijui ni lini nimeitembelea, zangu ni jf kwisha maneno,
 
Mimi sioni kama anakosea kuonesha itikadi yake kwa CHAMA.....
Ila anatakiwa kuelewa kwamba Blog yake inatembelewa na watu wengi sana wenye itikadi tofauti na kwa hiyo hakutakiwa kuwa upande mmoja zaidi,alitakiwa kuwa fair kwa vyama vyote na baadae atengeneze mazingira ya kupamba chama chake kipenzi labda kitamteua kuwa Mkurugenzi wa DAILY NEWS....
Lakini sisi wengine bado tunapenda vitu vingine tofauti kwenye Blog yake kwahiyo tutalazimika kuendelea na Blog yake........Sorry kama nimewakwaza wana JAMIIFORUM,NA Wanachama wenzangu wa CHADEMA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom