mzozaji
JF-Expert Member
- Jul 28, 2010
- 255
- 13
Inabidi Jamiiforums itengenezewe crone yake ili isipotee kwa nguvu za mafisadi. Kuwe na backup site ya nguvu kama hii ikifungwa kwa nguvu za kifisadi tunahamia kwenye backup..Duh! kaka kwanza ndo kwanza umenikumbusha kuna hiyo hiyo blog, kwa kweli sikumbuki lini nilipitia kule..(
Mi nshafunga ndoa na Jamiiforums, afu na hawa mafisadi wanavyotishia kuifungia wananitisha acha tu..