Wewe ndo umedadavua ukwel, alaa kumbe ndvyo ilvyo, ila lengo hapa ni watu wa jamii hyo husika kubadlkaugumu wa maisha,uduni wa elimu,pia mfumo wetu wa matrillineal unawapa wanawake mandate ya kuhodhi watoto,unawafanya watoto kuwa mali ya mwanamke kwa 100%,sasa malezi ya mama zetu mara nyingi yanawejengea deko,dharau na kiburi!sasa ongezea na uzuri ndio maana unawaona hivyo!halafu wanawake wa kinyiramba ndio "waliooa" na ndio "wanao waoa" wanaume!zamani zile mwanaume alikuwa akitoka kwao na kumfata mwanamke kwao!ila siku za hivi karibuni,imebadilika kidogo,mwanamke anamfata mumewe kwao ila kimila na kiutamaduni watoto ni wa mumewe "kwenye makaratasi na damu" ila ni wa mwanamke na kaka za mwanamke!zamani zile ukitaka kuoa mtoto wa kiume ilibidi umwone kaka wa mama yake ndio akuoze,ila baba yako anakuwepo kama pambo!wanawake wakinyiramba wanajiachia kwani baba zao au ndugu wa baba hawana mamlaka nao!
mkuu nashukuru kwa kuwa wa kwanza kulileta hiloNmedurusu comments zote apa sijaona mtu akzungumzia tabia mbaya kwa mabinti wa kimeru au *wanaoish mkoa wa arusha yaan ni wazawa wa mkoa huo, hii inadhihirisha uzur wa tabia zao ni wapole, weng wao ni Godfearing, wachache sana ni prodigals. Watanga nao kidogo hasa wa wilayan, acha wa apa tanga mjin... Anaebsha uyo mchawi #'I stand to be right in every corner'
mkuu,haina shida!na ndio wanawake hawatoi sana mimba,kwani mama zao hulea wajukuu,na wao huchagua nani na nani azae naye!waweza kukuta mwanamke ana watoto wa sita na kila mmoja ana baba yake!uku unyirambani watoto wa kike ndio ukuza na kuuongeza ukoo,the more girls you have the bigger chances of increasing a clan,ni kama matetea ya kuku,anapandwa na jogoo wa jirani,ila mayai yanatagwa na kutotolewa nyumbani!kwa hio unapo waita malaya,wenzio wanatafuta mbegu bora za kuleta home ili ukoo ukue!na ndio maana kumnyang'anya watoto mwanamke ni kazi nzito sana,yuko radhi aache magari kwa mwanaume ila siyo watotoWewe ndo umedadavua ukwel, alaa kumbe ndvyo ilvyo, ila lengo hapa ni watu wa jamii hyo husika kubadlka
Mkuu unaexprience nao! Uko vzur mkuumkuu,haina shida!na ndio wanawake hawatoi sana mimba,kwani mama zao hulea wajukuu,na wao huchagua nani na nani azae naye!waweza kukuta mwanamke ana watoto wa sita na kila mmoja ana baba yake!uku unyirambani watoto wa kike ndio ukuza na kuuongeza ukoo,the more girls you have the bigger chances of increasing a clan,ni kama matetea ya kuku,anapandwa na jogoo wa jirani,ila mayai yanatagwa na kutotolewa nyumbani!kwa hio unapo waita malaya,wenzio wanatafuta mbegu bora za kuleta home ili ukoo ukue!na ndio maana kumnyang'anya watoto mwanamke ni kazi nzito sana,yuko radhi aache magari kwa mwanaume ila siyo watoto
yap,na mie ni matokeo ya mfumo huu!Mkuu unaexprience nao! Uko vzur mkuu
Kuna Mnyiramba ni house girl hapa kwa Mama Mwanyika,ni mbaya kweli kwelisawa,ila genetic pool yao ikoje?hv unajua genetic pool pool ya wanyiramba wewe?
ahahaha,mkuu huyo atakuwa kadanganya kabila!Kuna Mnyiramba ni house girl hapa kwa Mama Mwanyika,ni mbaya kweli kweli
Ahahaha isha enda nae kwao alipofiwa na kaka yake,kwao ni Itigiahahaha,mkuu huyo atakuwa kadanganya kabila!
yani mdau malizia pichu mkononi mpaka nashindwa kushangaa aiseNi wahuni sana
Bar zote Tanzania zinafuata wasichana wa kinyiramba singida, maana wanaipenda sana hiyo kazi ya u bar maid, sababu wanapenda sana umalayayani mdau malizia pichu mkononi mpaka nashindwa kushangaa aise
mkuu,you are searching for right gals,at wrong place,come and meet in iramba,i will take at right places where you gonna meet,seduce and even find right gals for marriage!njoo nikupe wanawake wa kuoa!
Nimependa hiyo ya ukiwaudhi utakiona cha moto. Niliwahi kuwa naye mmoja huyo nilipojaribu kumuacha kwa kweli cha moto nilikionamkuu,pale juu nimeandika "Fasy to Go"...hawa watu huwa hawana hiana ukiomba utapewa,ukibisha milango ya mioyo yao utafunguliwa,ukitafuta kufa waudhi,utakiona cha moto
pole mkuu,hakukupiga juju?Nimependa hiyo ya ukiwaudhi utakiona cha moto. Niliwahi kuwa naye mmoja huyo nilipojaribu kumuacha kwa kweli cha moto nilikiona