Hivi kuna ushahidi gani wa kwamba mimea haipati maumivu inapokatwa?

Simple huwez sikia maumivu bila kuwa ubungo...mimi haina ubungo.....viumbe vyote vina ubungo wa kutafiri hayo maumivi ubongo....

Mimea haina nervous system yeyote yaani mfumo wa kuhisi na kutafsir taarifa mbali mbali katika mwili wa mnyama au mdudu

So bila kupoteza muda mimea haiskiii maumivi pia kuna baadhi viumbe pia havisikiii maumivu....
 
agreed
 
Kama haipati maumivu basi Mimisa pudica isingekuwa ina kunja matawi inapokuguswa
Mauniivu yapo maana ina uhai mingine hutengeneza miiba washawasha harufu mbaya sumu nk

Kwenye kundi la mimea jamii moja huwasiliana na kute geneza kemikali mbaya ili kumzuia mvamizi asiendelee kutumia ....ni tunda pekee mmea huruhusu matumizi kwa kiumbe chochote kutumia pindi linapo kuwa limeiva tu

Porini na kwenye misitu Minene kama Congo Gabon na Cameroon kuna mambo ya kutisha na kustaajabisha kuhusu mimea....ukifika kwenye hayo mapori na misitu kaa kwanza na Wazee wakupe za ndanindani vinginevyo YATAKUKUTA

Zemani From Royal Botanical Garden Edinburgh _ Kivu Mashariki
 
Kama mimea inaweza kufanya haya, kwanini isijitambue?

Naama, umenena vyema. Viumbe hai vina sifa ya ku sense
 
Kwa tuanze definition ya Irritability
Irritability is the ability to respond to stimulus
Kwa wanyama wote hasa mammalia kama sisi binadamu iko very fast sababu tuna pain receptors,nerve na ubongo.
Irritability ya mimea ukweli ipo lakini iko very slow.Mfano ukichukua mmea ukauweka kwenye box hilo box ukatoboa shimo ule mmea utapinda kuelekea lile shimo kufuata mwanga ila kitendo hicho kinachukua muda mrefu hata zaidi ya wiki.
Kwa upande wa maji na mbolea ukipanda mmea sehemu utagundua kuwa mizizi inaelekea kule kwenye maji na mbolea lakini hii inachukua muda sana.
Mimea ina hormes mfano ambayo inaitwa Auxin inajukumu la ukuaji wa mimea ila ni taratibu mno.

in short mimea haisikii maumivu sababu haina pain receptor,nerve na ubongo
 
Screenshot_20240329-084858_1.jpg
 
Simple huwez sikia maumivu bila kuwa ubungo...mimi haina ubungo.....viumbe vyote vina ubungo wa kutafiri hayo maumivi ubongo....

Mimea haina nervous system yeyote yaani mfumo wa kuhisi na kutafsir taarifa mbali mbali katika mwili wa mnyama au mdudu

So bila kupoteza muda mimea haiskiii maumivi pia kuna baadhi viumbe pia havisikiii maumivu....
Ushawai ona mmea unaugusa ghafla una sinyaa na baada ya muda huchanua tena.unajua maua marufu kama maua saa 6.hapo kwenye kuhisi mimei inahisi.
 
Back
Top Bottom