Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Hii mada ina ukweli lakini inategemea zaidi na Mindset na jinsi ya kusimamia malengo kwa Diaspora husika. Kinachowaponza wengi ni sifa na kufuata Mkumbo.

Ila still wapo wengi ninaowajua waliofanikiwa vizuri.
Shida hawa Diaspora wamepewa majina makubwa!!.. Huwezi kuishi na kufanya Kazi US Kwa 5 years alafu ukaja hapa ukafungua Duka la Nguo au la Vyombo vya Ndani au Vitenge
Eti umeishi ulaya for 10 years umerudi hapa umefungua Bar huko Mpiji magoe
Au ulikua UAE for 7 years unaenda kulima Tikiti Kigamboni au kufunga Kuku 150 wanyama!!..
 
everything has to grow. watu wengi ukimbilia kuanza gia kubwa ikiwa hata hawana wateja. doze doze.
 
Utakuwa ni mtoto au ndugu wa mmiliki wa FK Schools. Kuna yule ndugu yako Yona Fares Maro alijiua miaka 2-3 iliyopita, baba yake ndiyo mmiliki wa FK Schools..
 
Wanaogea maji ya visima yaliyochanganyika mavi unategemea wasiwe na roho mbaya
 
Utakuwa ni mtoto au ndugu wa mmiliki wa FK Schools. Kuna yule ndugu yako Yona Fares Maro alijiua miaka 2-3 iliyopita, baba yake ndiyo mmiliki wa FK Schools..
Kuna mtu anadhani kwasababu Una shiriki mijadala basi wote sisi ni Sawa,Una baki Una wacheka Tu
 
Wewe ndo uliepataga mchumba kwenye basi la mkoani...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚?
Mmmh hii story mpya,nikumbushe vizuri maana ndio leo naiisikia hii,,,,,,hebu kanitag hapo nilipoelezea hii habari nijikumbushe vizuri
 
Jogi mhamiaji toka Uganda anatuasa vijana kuwa maisha ni jinsi unavyoyachukulia ....


 
Hizi taarifa mbona zipo miaka nenda rudi. Remittance last year 2022 ilikuwa USD 520m give or take.
 
Wale wanakua walishaoa uko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…