Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Clouds wamemwita ili ajibu tuhuma. Kama una swali lolote kwa h uyo unayemwita Bashite peleka Clouds. Clouds wanataka ukweli ufahamike na si kwamba wanafanya uisanii.
Ubongo wako nahis upo matakoni ndo maana ume koment hvyo
 
Kule natamani kua IGP Atapiga simu na kumpa misifa kemkem on air...
 
Nionavyo mimi:-

Actually CLOUDS ni kama team Serikali.

Wanafanya kazi kitafiti lakini wasiiudhi serikali hii tukufu kwa gharama yoyote ile.


Vijana wengi na viongozi wengi wa serikali wana uswaiba wa karibu watangazaji wa kituo hiki.

Ni kama watu wanaokutana kula, kupiga stori kijiwe kimoja na mambo mengine ya kiushkaji mitaani.

So wakimwita makonda, ni wapi hawezi chomoa. Kwakua anajua wale ni "wana."

Pengine kuliko vituo vingine nchini.
Wanafanya u wana kwenye vitu vya msingi wanaleta usanii, wacha wajipotezee soko, cc wengine tulisha waacha hata kuwasikiliza
Wewe nimmoja Wa clouds group na unajua nyie ni wasanii
 
Clouds ni kituo cha radio/tv cha kinafiki sana,maana wao kazi yao ni kusifia maovu ya serikali,
Wakati mbowe ametajwa na makonda basi clouds kwenye kipindi cha jahazi akina kibonde walijifanya kuchambua kama wajuaji kumbe wote zeros wakidai makonda anayo haki ya kufanya hivyo mana sheria inamtambua nilivyowasikia nikawacheka sana na kuanzia hapo nikawadharau sana maana wanajadili vitu vilivyowazidi.
Wale jamaa wanafki sana, sio mbowe tu, kebehi kwa Manji,kwa majizo, watu walikua wanachora tu
 
Mie nadhani tusimuhukumu huyu mtu kwanza....tuanze na yule alomteuwa,tangia tuliposikia hizi taarifa kwamba kijakazi wake kayadharau mamlaka fulani ya nchi/serikali ametoa maamuzi gani?kwa nchi zenye viongozi wanaojitambua tungetegemea kutangazwa mkuu wa mkoa mpya.la msingi ni je!huyo alompa dhamana ya cheo yupo sawa kiakili?
 
Himiza kila unayemjua na unayemjua amhimize anayemjua kua 2020 Bashite na wenzake waondoke kupitia sanduku la kura.
Kwa sanduku la kura haiondoki mkuu ni amini labda tutumie njia nyingine
 
makonda yupo kwenye pay roll ya ruge so makonda anakipindi pale anatangaza
 
Hivi TBC wanajisikiaje?

Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.

Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?

Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
 
BARBRAH HASSAN anajifanya kuibua mjadala wa kuitwa kwa "DAUD ALBERT BASHITE" studioni ili aje kujibu tuhuma kumbe ukweli wa mambo ni kwamba tayari wameshapewa maagizo kutoka kwa RUGEMALILA MUTAHABA kiandaliwe kipindi maalum cha KUJISAFISHA huyu dogo....

Mi nasemajee, hii GSM mwaka huu imetuamulia!
Shubaaamit!
 
Huu hapa ndo mhimili wa Shetani:

Makonda - Magufuli - GSM - Ridhiwani- Cloufs
 
t
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.

Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?

Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Tena anapigiwa simu na yule mtangazaji wa kike ambae kazi yake ni kusema actually, kumbuka kuliwahi kuw na TETESI kuhusu wasanii wanaoplekwa na MAWINGU South na Sembe, na boss ni Ku- Grind
 
Back
Top Bottom