Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Anapenda sana media ndio maana kakubali haraka, anajua akili yake ya kuvukia barabara na kukurupuka hawezi kujieleza bungeni... maana anaongea pumba tu
 
Yani nimewadharau sana hao akina Ruge/Kusaga na Clouds kwa ujumla wao...

Wao ndio wanampa Daudi kichwa na airtime za kijinga wakati huyu mtu alipaswa awe amesharespond wito wa bungeni na Mahakamani.

Wakuu... kama Nchi sijui nini kifanyike sasa kwa huyu Daudi Bashite aka Paul Makonda...

It should be a Country move.. maana mamlaka yake ya uteuzi imegoma kumwajibisha. Nini kifanyike??
cc Pascal Mayalla, Salary Slip BAK Daudi Mchambuzi Francis12
Bizi ni hasira za CHADEMA tu
kipindi hiki hamna pa kutokea mlizoea kujazana kwenye maTV
sasa hakuna cha kuitwa Bungeni wala LIVE
bakini na Mahakama mpaka madawa yasafishwe
 
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.

Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?

Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Rushwa Ina sura nyingi. Anayeweza kujua gharama zilizotumika na clouds ku cover matukio ya Makonda atufahamishe.
 
Pale ni uwanja wake wa nyumbani, uahakika wa kushinda game no mkubwa mno, maswali yameshaandaliwa huko alipo sasa anameza majibu tu, wathubutu kuruhusu maswali ya moja kwa moja toka kwa wasikilizaji napo wanaweza andaa watu wa kupiga simu
 
TANGU KIPINDI CHA BUNGE LA KATIBA, CHADEMA MNAPAMBANA NA MAKONDA TU - HAMKATI TAMAA TU ?
Mi naona sawa tu Kama chadema, ccm nk watatusaidia katika hili. Wanyonge hatuna sauti, tunasaidiwa wakipenda wao. Tatizo wengi mnafikiria mambo ya vyama, wengine hatuna vyama lakini tungependa haki itendeke. Wewe Kama Mtanzania unaona ni haki wengine waadhibiwe na wengine wawe huru kwa kosa lile lile? Tunaomba Ndalichako atoe tamko, aseme vyeti vya Makonda ni halali (kama ni kweli) ili yaishe.
 
mungu Wenu Mbowe na sugu walishawahi kuweka hadharani vyeti vyao ? - Sote tunajua CCM ni wezi, wadhulumaji na si watenda HAKI - Basi tunataka WATETEA WANYONGE, WAPENDA HAKI HAO WAONESHE MFANO.
 
mungu Wenu Mbowe na sugu walishawahi kuweka hadharani vyeti vyao ? - Sote tunajua CCM ni wezi, wadhulumaji na si watenda HAKI - Basi tunataka WATETEA WANYONGE, WAPENDA HAKI HAO WAONESHE MFANO.
Naomba kujua vyama vya siasa vina members wangapi mpaka u assume watanzania wote wana kadi za vyama. Cha msingi vyeti ni vyake au sio vyake?
 
BASHITE A.K. MAKONDA, NENDA BUNGENI ULIKOITWA
 
Bungeni na mahakaman ataenda tu sheria tamu bwana pia sheria ni msumeno halafu akienda bungeni atakutana na lissu na mbowe akienda mahakamani anakutana na vichwa hivyohivyo
 
Wahuni ndivyo walivyo Mkuu.

Yani nimewadharau sana hao akina Ruge/Kusaga na Clouds kwa ujumla wao...

Wao ndio wanampa Daudi kichwa na airtime za kijinga wakati huyu mtu alipaswa awe amesharespond wito wa bungeni na Mahakamani.

Wakuu... kama Nchi sijui nini kifanyike sasa kwa huyu Daudi Bashite aka Paul Makonda...

It should be a Country move.. maana mamlaka yake ya uteuzi imegoma kumwajibisha. Nini kifanyike??
cc Pascal Mayalla, Salary Slip BAK Daudi Mchambuzi Francis12
 
Bashite kesho nakukumbusha unaitwa mahakamani
 
Aende TBC TV ya Watanzania wote chini ya Serial yetu.
 
mungu Wenu Mbowe na sugu walishawahi kuweka hadharani vyeti vyao ? - Sote tunajua CCM ni wezi, wadhulumaji na si watenda HAKI - Basi tunataka WATETEA WANYONGE, WAPENDA HAKI HAO WAONESHE MFANO.
Umesikia wakijipa sifa wasizo nazo ?
 
Back
Top Bottom