Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

She was real cute, sema sikupata muda wa kumuuliza anasoma course gani.
[emoji23][emoji23][emoji23] ana bahati walau anacho cha kuringia. Wale wenzangu na mimi sura imegoma math nayo imegoma sijui inakuwaje
 
Naamini waliopo humu ndiye wale tunaopishana mitaani, tunapanda nao usafiri mbalimbali, sehemu za chakula, tunafanya nao kazi, wengine ni wateja wetu sehemu tunazofanya kazi...

Natamani nisingikize uzi huu kwa picha, ila alipo najuwa anajiandaa kuwa mke hivyo isingekuwa vyema mumewe amkute humu maana naamini wote watakuwepo humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioko humu ndo walioko nje, kuna watu huku nje hawana kampani ya wanawake wazuri, most likely hata humu utakuwa na kampani kama hiyo.

NB: Uzuri pia unategemea na nini unakitaka kwa mwanamke.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ana bahati walau anacho cha kuringia. Wale wenzangu na mimi sura imegoma math nayo imegoma sijui inakuwaje

Kila mtu kuna jinsi ambavyo Mungu amempa kitu chake cha tofauti (competitive advantage).

Isipokuwa binadamu kwa macho yetu ndo tunaweka ubaguzi.

Lakini everyone is special and unique in his/her own way.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…