Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Unafiki unakusumbua LadyAJ
Kwanini unafiki unisumbue? Niko na mume wangu kabla hajawa Mume,kipindi hiko hata sijui kama atanioa ama vipi, nyie kama mmezoea kuwasaliti watu wenu ni nyie wanaume, sio kila mwanamke basi haridhiki na mwanaume aliye nae,binafsi nnavyompenda Mume wangu nikiwaona wanaume wengine nawaona kama wanawake wenzangu vile
 
yaani wanawake, hata kwenye baskeli unafanya nae sex. sijui dunia wanaichukuliajeeee
 
Wengi hawachepuki mkuu ... Uliochepuka nao hao n tabia zao
 
Nikiona jinsi watu wote wake kwa waume wanavyochepuka nashindwa kuelewa maana ya ndoa.

Kuna sehemu niliwahi kuishi, palikuwa na cross multiplication.....yaani mke wa A anagongwa na mume wa B halafu A wanagongana na B na kila mtu alijua[nikajiuliza kwanini wasibadilishane ndoa?]

Kwa mwanaume kuchepuka haimaanishi hana ndoa au mahusiano mazuri, ni kwamba alipatwa na genye then akapata sehemu ya kuzidump.....ni sawa na ku wank tu. Kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti, ME anaweza kumgegeda mwanamke asiyempenda.

Kwa mwanamke ngono ni hatua baada ya mapenzi, hakuna tofauti. Mwanamke kufanya ngono na ME, ujue amevuka vikwazo vingi pamoja na kumpenda. Tofauti na ME, KE hawezi kufanya mapenzi na mtu asiyempenda[kuna exceptional ndogo].
Ukiona mwanamke anachepuka ujue ndoa yake ina matatizo.

Ukimfumania mumeo halafu akakwambia anakupenda kuliko mchepuko wake, jua kuna uwezekano mkubwa akawa ni mkweli............Lakini ukimfumania mkeo jua alishakutoa moyoni.
agiza kinywaji ntalipia mkuu...!!!
umeongea point sanaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
we endelea tuu ila omba Mungu nisikushike...... utajuta kuzaliwa
 
Ni mkali kweli ila mtu wa Shobo sana maana mimi aliniletea shobo mkuu Baada kuona mshkaji haeleweke nami nikaonja kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu mtonye basi mwambie kuna kibopa hakijatumbuliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe pasi hyo babu
 
Sio wanawake wote walio kwenye ndoa wanachepuka bali ni tabia ya mtu, hao uloiwapata 5 ukadhani wote wapo hivyo, yawezekana ulikutana na watu wenye malezi kama yako, wapo wanandoa kibao wanao jiheshimu, kajifunze kwanza kwa wazazi wako kisha rudi hapa.
 
Subili siku wenye wake zao wakikukamata ndiyo utajua kwanini kichwa cha kuku hakibebi mzigo
 
kwa hili ntakua upande wa wanawake,wapo kabisa wasio chepuka hata kidogo,wanaume ndo tunaongoza kwa kuiba ''route''
 
Nikiona jinsi watu wote wake kwa waume wanavyochepuka nashindwa kuelewa maana ya ndoa.

Kuna sehemu niliwahi kuishi, palikuwa na cross multiplication.....yaani mke wa A anagongwa na mume wa B halafu A wanagongana na B na kila mtu alijua[nikajiuliza kwanini wasibadilishane ndoa?]

Kwa mwanaume kuchepuka haimaanishi hana ndoa au mahusiano mazuri, ni kwamba alipatwa na genye then akapata sehemu ya kuzidump.....ni sawa na ku wank tu. Kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti, ME anaweza kumgegeda mwanamke asiyempenda.

Kwa mwanamke ngono ni hatua baada ya mapenzi, hakuna tofauti. Mwanamke kufanya ngono na ME, ujue amevuka vikwazo vingi pamoja na kumpenda. Tofauti na ME, KE hawezi kufanya mapenzi na mtu asiyempenda[kuna exceptional ndogo].
Ukiona mwanamke anachepuka ujue ndoa yake ina matatizo.

Ukimfumania mumeo halafu akakwambia anakupenda kuliko mchepuko wake, jua kuna uwezekano mkubwa akawa ni mkweli............Lakini ukimfumania mkeo jua alishakutoa moyoni.
Mkuu we noma aisee
 
Unataka kusema huu ni utafiti mpya au.. Sijaelewa. So what?.. Tunachepuka mnachepuka ain't nothing new same old same old tales!
 
Uandishi wako unatia shaka..na unaonyesha ww no mtu wa gani na mwanamke gani uliyemgegeda

Na wewe nae uandishi wako ni zero kabisa... Sasa ndio umeandika nini hapo!!!

*ww no mtu wa gani

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom