Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Wanume muachage sofa za kijinga, ajuae kuwa anapigwa miti ya uhakika ni mwanamke pekee, hayo ya kwenda kujisifia upuuzi tena eti mume wa mtu ni ujinga na upumbavu.


Mwanamke gani hata hujui kuandika vizuri.
*wanume
*sofa za kijinga

Hadi unatia kinyaa (ptuuuuuuuuu)

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ukijua mwili wako ni wa nani,wala huwezi kusumbuka kufikiria hayo ya nynge unayoyasema ikiwa mumeo/mkeo yupo katika hali ya kushindwa kufanya hilo tendon, akili yote utaihamishia katika kum support na kumvusha katika hali ngumu anayopitia
Vipi ukishamtibu mmeo akapona halafu akachepuka na beki tatu au rafiki yako sijui utajisikiaje, nahisi utatumia kona ya meza kumaliza nyege zote
 
Omba uzima Tu !%100 wanachepuka sana !kama unabisha onesha ukali kwa mkeo mwambie mm naona huna adabu bora uondoke atakujib kwanza kwetu sijaua tugawane Mali hapo utapojua kuwa kinachojadiliwa hapa kinalogic!anakuheshm kwel atakuulza nn sabab kwa unyenyekevu !hao wengine farijianen ila kaz zinapigwa kama kawa! Kuwa Na iman sio mbaya
 
Vipi ukishamtibu mmeo akapona halafu akachepuka na beki tatu au rafiki yako sijui utajisikiaje, nahisi utatumia kona ya meza kumaliza nyege zote
Kutumia kona ya meza ni akili ya ki sekondari,kwa watu wazima kama sisi ni ajabu kumalizia matatizo yako ktk vitu kama hivyo,ukweli ni hivi si kwamba mume wangu hachepuki (ni nadra kukutana na mwanaume wa hivyo kwa kizazi kilichopo) ila kikubwa ananiheshimu anaheshimu familia na kuijali,beki 3 sina nina mtoto wa marehemu shangazi yake tunamsomesha ufundi cherehani jioni ndie anayetisaidia kazi
 
Back
Top Bottom