super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 540
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] WATU WANA WAKE ZAO UMU AFU WW UNASEMA UNAWABINJUA KWA KUJIAMINI KABISA DUUUH
Mnajitahid kupangua ila ukwel mnaujua mnachepuka sanaAcha ujinga hakuna mwanamke asiyechepuka? kisa umekutana na malaya 5 kati ya mamilioni walioolewa!
Atakuwa kagongewa huyuJambo gani lilikukuta chief hadi kufikia hali ya kusema haya maneno?
Hahahaaha eti unasema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] achanicheke kwa dharau [emoji108]Wewe kwanza sio mzuri hiyo piacha kama ni ya kwako basi ni haki yako maana kunawanawake warembo bana kila sekunde wanasumbuliwa na wanaume wawapo maeneo hayo
Ukijua mwili wako ni wa nani,wala huwezi kusumbuka kufikiria hayo ya nynge unayoyasema ikiwa mumeo/mkeo yupo katika hali ya kushindwa kufanya hilo tendon, akili yote utaihamishia katika kum support na kumvusha katika hali ngumu anayopitiaulikua unapunguzaje genye?? au matatizo ya kumtibyu mumeo yalikuwekea ubize+huzuni?
Basi siku moja nikiwa geto alikuja geto tukapiga stori mbili tatu
Kufanya tendo ni fikra na hisia, fikra zangu zilikua ni kumuinua mwenzangu toka katika ugonjwa na kurejea katika hali yake ya kawaida tuliyoizoea, hayo uliyoyataja nilikua namchanganyia kwenye chakula ili kuimarisa Afya yake na kukuza hisia zetu za mapenzi wote wawiliSupersub alikuwa nani?
A)ndizi
B)tango
C)kona ya meza
D)vidole
E)all of Above
Hahaha..............Utavuna ulichopanda
Ndo ishakuwa hivyo mwenzio.ulimtia(punguza ukali wa maneno)
hivi wewe Jose, kumbe ndio unakujaga huku kusema siri?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe kwanza sio mzuri hiyo piacha kama ni ya kwako basi ni haki yako maana kunawanawake warembo bana kila sekunde wanasumbuliwa na wanaume wawapo maeneo hayo
Wee kibokooMke wangu hachepuki maana kila siku nampa shuruba nzito nikirudi kazini mpaka ananiwekea timetable
Una hekima ubarikiweUkijua mwili wako ni wa nani,wala huwezi kusumbuka kufikiria hayo ya nynge unayoyasema ikiwa mumeo/mkeo yupo katika hali ya kushindwa kufanya hilo tendon, akili yote utaihamishia katika kum support na kumvusha katika hali ngumu anayopitia