Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Hivi kuna mwanamke asiechepuka kabisa?

Kufanya tendo ni fikra na hisia, fikra zangu zilikua ni kumuinua mwenzangu toka katika ugonjwa na kurejea katika hali yake ya kawaida tuliyoizoea, hayo uliyoyataja nilikua namchanganyia kwenye chakula ili kuimarisa Afya yake na kukuza hisia zetu za mapenzi wote wawili
Safi Sana
 
we unaishi uwanja wa fisi, unakutana na malaya wenzio wa uwanja wa fisi mnabanduana as if hakuna Mungu unatuletea na thread kabisa za kipepo, hebu ushindwe
Tatzo ye kiwembe afu anapata viwembe wenzake anais kila mwanamke Ni vua chup kwa kila mtu
 
Kuna jamaa angu kazini, mpole huwa hajichanganyi kabisa, Juzi alinambia kashawapatia mademu watatu kazini na wote ni wapole Sana, Kati yao wawili ni wake wa watu, huyo mwingine hajaolewa ila nilikua namuona katulia Kama anafaa kuolewa kabisa. Nimeishiwa nguvu kabisa mpaka leo
 
Nikiona jinsi watu wote wake kwa waume wanavyochepuka nashindwa kuelewa maana ya ndoa.

Kuna sehemu niliwahi kuishi, palikuwa na cross multiplication.....yaani mke wa A anagongwa na mume wa B halafu A wanagongana na B na kila mtu alijua[nikajiuliza kwanini wasibadilishane ndoa?]

Kwa mwanaume kuchepuka haimaanishi hana ndoa au mahusiano mazuri, ni kwamba alipatwa na genye then akapata sehemu ya kuzidump.....ni sawa na ku wank tu. Kwa mwanaume ngono na mapenzi ni vitu viwili tofauti, ME anaweza kumgegeda mwanamke asiyempenda.

Kwa mwanamke ngono ni hatua baada ya mapenzi, hakuna tofauti. Mwanamke kufanya ngono na ME, ujue amevuka vikwazo vingi pamoja na kumpenda. Tofauti na ME, KE hawezi kufanya mapenzi na mtu asiyempenda[kuna exceptional ndogo].
Ukiona mwanamke anachepuka ujue ndoa yake ina matatizo.

Ukimfumania mumeo halafu akakwambia anakupenda kuliko mchepuko wake, jua kuna uwezekano mkubwa akawa ni mkweli............Lakini ukimfumania mkeo jua alishakutoa moyoni.
Umenigusa mkuu
 
Ukijua mwili wako ni wa nani,wala huwezi kusumbuka kufikiria hayo ya nynge unayoyasema ikiwa mumeo/mkeo yupo katika hali ya kushindwa kufanya hilo tendon, akili yote utaihamishia katika kum support na kumvusha katika hali ngumu anayopitia

Unafiki unakusumbua LadyAJ
 
kwa ufupi ukiona unachepuka au mwenzako anachepuka ujue fika haumridhishe mwenzio huo ndio ukweli, huwezi kuwa unamridhisha mwenzako akachepuka. Wengi mnabakana na hamjui mapenzi ndio maana unatoka au mwenzio anatoka nje, That's all
 
Back
Top Bottom