Elections 2015 Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayempigia kura yake Magufuli na kumuacha Lowassa?


lowassa kawaambukiza uropokaji... we unadhani kutuita kenge ndio umeshinda, tukana matusi yote lakini hayabadili msimamo wangu na wenye akili wenzangu...

hoja hamna mnajimbilia matusi... eti wizi, ungekuws na uchungu kweli tungeona hata umechukua fomu, umekaa tu eti unauchungu
 

Hacha hujinga wewe kama lowasa sio mwizi kwanini aliamua kujiudhuru na tangu mwaka huo kakaa kimya ,ushaidi wa wizi wa lowasa wanao chadema mana wao ndo waliibua vuguvugu hilo mzee akavua bambino.Magufuri hatufai ila lowasa ni mchafu kama dambo la tabata.bora iwe hivi kuliko lowasa kuingia magogoni.
 

Attachments

  • Click image for larger version_ Name_1439918077315_jpg Views_583 Size_105_0 KB ID_277851.jpg
    13.5 KB · Views: 156

Vizuri sana mkuu
 

Lowassa ni jizi papa
 


Kwanza naskia Leo magamba yamezomewa kweli maeneo ya mwenge yalikodiwa coaster kwenda huko diamond jubilee
 
hivi mmegundua wafuasi wa Lowassa na UKAWA kwa ujumla wako na mori na hyper sana kama wamelishwa pilipili kichaa. maneno meengi, mara wapige deki barabara, mara watambae, mara hivi mara vile. wana kelele sana. mie sina chama na hii ni observation yangu tu
 

Umeelewa swali langu?

NAKURAHISISHIA:Ile orodha ya Mwembeyanga ilikuwa ya mafisadi au siyo mafisadi?

Halafu naona umekomaa na Richmond pekee,kwa taarifa yako Lowassa mlimtaja fisadi kabla ya Richmond.
 

ndio hapo sasa uone kuwa hawajui walitendalo...ni mihemko yao , , , wanamwona kama mungu wao eti mkombozi, wengine wakamfananisha na mtume halafu ndio wanakuja kujishtukia baadaye kuwa akili zilikuwa zimeruka,,, sasa kuna wengine bado akili hazijarudi wao ni kurukaruka tu wanaungua na jua mara usiku wakeshe eti wanamlinda..yani shida tupu
 
Mtaendelea kupiga deki barabara lakini Lowassa hataingia Ikulu.

Ikulu sio pango la walanguzi.
 
Mtaendelea kupiga deki barabara lakini Lowassa hataingia Ikulu.

Ikulu sio pango la walanguzi.

ila hii ya kupiga deki barabara naomba Mirembe ihusike, mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo! kama kuna mtu anawapa viroba naomba aache watu warudishe senses zao!
 

Kwa hiyo mtu analiibia taifa mabilioni ya pesa halafu Serikali inamruhusu ajiuzulu ili akayale hayo mapesa kwa amani bila kumchukulia hatua yoyote? Kama kweli Lowassa aliiba basi alishirikiana na Serikali yote kuiba ndio maana hawataki kumeleka mahakamani kwa sababu wanajua waliiba wote. Lakini Lowassa kashakanusha na kuelezea waziwazi kwamba muhusika ni mkuu wa nchi. Sasa utakuwa mjinga sana kama utamuhukumu mtu ambaye ameshakana kuhusika na muhusika kamtaja lakini hakuna vyombo vya sheria vilivyomwita Kikwete kumhoji mpaka sasa hivi.

Ni vilevile kwa Magufuli. Ametajwa na kashfa ya wizi wa mabilioni ya pesa lakini hakuna hatua yoyote ile iliyochukuliwa na Serikali na badala yake wanatuletea mtuhumiwa tumpigie kura!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tumia kichwa kufikiri na si vinginevyo.
 
Umeelewa swali langu?

NAKURAHISISHIA:Ile orodha ya Mwembeyanga ilikuwa ya mafisadi au siyo mafisadi?

Halafu naona umekomaa na Richmond pekee,kwa taarifa yako Lowassa mlimtaja fisadi kabla ya Richmond.

Ilikuwa orodha ya watuhumiwa wa ufisadi na si mafisadi. Lowassa ameshasema yeye hausiki na mhusika ni Kikwete. Hivyo Lowassa anatolewa rasmi kwenye listi ile ya watuhumiwa na mtuhumiwa hapa ni Kikwete.

Hata kwenye kutajwa kwa Lowassa kwenye maeneo mengine ukiacha Richmond bado ni kumtuhumu tu. Serikali iliyokuwepo madarakani wakati huo ilikuwa na jukumu la kumburuta mahakamani ili ajibu tuhuma kama zilikuwa na ushahidi wa uhusika wake kwenye matukio hayo. Kwa nini haikufanya hivyo?

Kama kweli Lowassa alihusika katika wizi anaoutuhumiwa, basi Serikali ya wakati huo nao ni wezi kwa kushindwa kumchukulia hatua kama walikuwa na ushahidi kwa sababu huwezi kumuacha mtu anaiibia Serikali mabilioni ya pesa bila kuchukua hatua yoyote kama wewe mwenyewe sio mwizi.

Sasa kwa issue ya Magufuli hii iko wazi kabisa kwamba kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na CAG kwamba alitunga mradi hewa wa ujenzi wa barabara na kuupatia namba hewa ili kuiba mabilioni ya walipa kodi.

Inaingia akilini namna gani mtu ambaye amethibitishwa kuwa mwizi wa mali ya umma aliyekubuhu kwa kudanga mradi pamoja na namba ya mradi ndio huyo CCM inatuletea eti tumpigie kura ya kuwa Rais wa Tanzanina?

Kama aliweza kuiba mabilioni wakati akiwa waziri, ni wazi kwamba ataiba matrilioni akiwa rais tena bila kutunga uongo wa kuhalalisha wizi wake bali atakwapua mchana kweupe bila justification yoyote ile hata ya uongo.

Kwa nini CCM watuletee mwizi aliyekubuhu kwenye kinyang'anyiro cha mgombea urais? Bila shaka ni kwa sababu waliompigia debe ili agombee ni wezi wenzake ili waendelee kuliibia taifa hili kupitia mgongo wa mwizi mwenzao atakapoingia ikulu.

Watanzania mumuogope Magufuli kama Ebola ama sivyo nchi itafilisiwa kabisa katika kipindi chake cha mwaka mmoja tu.
 
Mtaendelea kupiga deki barabara lakini Lowassa hataingia Ikulu.

Ikulu sio pango la walanguzi.

siyo kosa lako kaka ndio ulivyo aminishwa na wanaokutuma, lakini ungekuwa na akili japo kidogo basi ungewauliza hao wanao kutuma,

kwa nini kama lowassa ni mchafu, basi kwa nini serikali kama inahushahidi isingempeleka mahakamani?

Bali iliendelea kumpa nafasi tena nyeti za kiserikali?

Kaka wakati mwingine ukiambiwa basi ni vyema ukachanganya na za kwako,
 

KILIMANJARO , ARUSHA NA MANYARA- WALISUSA KUJIANDIKISHA BVR- LOWASA ATAISOMA NUMBER.

MKUKI WA KULENGEA HUU HAPA; ASUBUHI NA MAPEMA ; CCM BIASHARA WALISHAMALIZA.

UKANDA WA KASKAZINI WAMEMSUSA SASA WA NN HUKU


 

Hivi kujiuzulu ni kufukuzwa. By the way, Lowassa anakuwa ni kiongoz sahihi kwa kujiuzulu, legacy amabyo wachumia tumbo wengi pamoja na madudu wamegoma kujiuzulu. Hoja ya CAG haijajibiwa so far kuhusu pesa alizoziwekea audit query!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…