ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Kenge kama nyie mmebaki wachache sana..kama wewe unataka kutawaliwa na ccm na wizi wao miaka mia sisi wananchi wakombozi wa nchi hii tunasema enough is enough. .to hell with ccm..the 2nd freedom is comming soon! Wote jamani wenye uchungu na nchi yetu..tulio na vichinjio..n'gombe kaanguka anapiga mateke tu yuu karibu kukata roho october25 tutoke kwa wingi tukammalizie!
lowassa kawaambukiza uropokaji... we unadhani kutuita kenge ndio umeshinda, tukana matusi yote lakini hayabadili msimamo wangu na wenye akili wenzangu...
hoja hamna mnajimbilia matusi... eti wizi, ungekuws na uchungu kweli tungeona hata umechukua fomu, umekaa tu eti unauchungu