Elections 2015 Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayempigia kura yake Magufuli na kumuacha Lowassa?

Mkuu kuna wakina Shy-rose wa kiume wamejaa ndani ya CCM. Hao ndio chaguo la Kikwete na Magufuli. Yaani hii nchi ukiambiwa system yake ilivyo oza kisha watu wana shabikia CCM unaweza kuzimia. Kikwete ndani ya miaka michache alibadirisha washkaji zake mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya kama nguo za ndani. Huyu mtu sio wa kuaminiwa kabisa. Na hata huyu Magufuli mambo ni yale yale tu. Anajaribu bahati yake wakati kumekucha watanzania wameshashtuka na wanahitaji maendeleo.
 
Mwizi anapokuvamia nyumbani kwako huwa anatumia lugha ya matusi ili kukutisha utoe hela kabla hajatumia jiwe, nondo au bunduki. Huwa haji kujenga hoja kwamba unatakiwa umpe yeye hela zako kwani hakuna hoja itakayokushawishi umpatie hela zako yeye badala ya kubaki nazo mwenyewe. Ndicho wanachokifanya CCM hapa kutukana matusi bila ya kuwa na hoja yoyote.
 
kila mtu na akili zake .. hapa tunaangalia uwezo wa mtu kuongoza na sio chama..
nasema wazi kama ccm wangempitisha lowassa na chadema wakampitisha slaa ningekuwa radhi kumchagua slaa....
lakini naahukuru lowassa alikatwa .. Siiungi mkono chadema sio kwa sababu ni chadema bali ni kwa sababu waliyempitisha ni lowassa.. yule mzee hafai kuongoza hata kijiji..
mara mia ccm waendelee kutawala miaka mia kuliko lowassa kutawala mwaka mmoja
 
Nauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.

Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza kuwa na ushahidi ambao kama kweli alikwapua basi walitakiwa wawe wameshamburuta mahakamani tangu wakati ushahidi ulipopatikana kama kweli wanauchukia wizi wa mali ya umma na kama kweli wao wenyewe sio wezi.

Magufuli sio tu anatuhumiwa bali kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ukimuhusisha na taarifa za uongo za kudai mabilioni ya pesa yametumika kujenga barabara wakati sio hivyo. Ni wazi kwamba Magufuli kakwapua hizo hela na hivyo HAFAI KUKAA IKULU HATA SEKUNDE MOJA.

Sasa jiulizeni hivi CCM imeshindwa kuja na mgombea wake ambaye sio mwizi? Kwa nini waweke mgombea ambaye ni mwizi kama wao wenyewe sio wezi?

Kifupi ni kwamba Magufuli atapigiwa kura tu na wezi wenzake wanaoliibia taifa hili usiku na mchana bila kunawa na hivyo kulifanya taifa hili lenye rasilimali lukuki kuendelea kuwa taifa masikini.

Watanzania wote wenye uchungu na nchi yao kama wamepewa kuchagua wa kumpigia kura kati ya mtu anayetuhumiwa tu bila ushahidi wowote na ambaye ameshathibitishwa kwamba ni mwizi na taasisi maalum yenye utaalamu kuhusu uthibitishaji huo basi watapiga kura kwa yule ambaye hajathibitishwa kwamba ni mwizi.

Je wewe kura yako iko kwa nani kati ya hawa wawili?

Tatizo Afya kaka
 
Tatizo Afya kaka

Kwa hiyo umchague mtu ambaye unajua kabisa ni mwizi kisa mpinzani wake afya yake duni?

Urais ni taasisi sio uwezo wa mtu kupanda ndege kila siku kwenda Ughaibuni hivyo hicho sio kigezo cha kumuengua Lowassa kwa ajili ya afya. Akiwa Rais atakuwa na timu kubwa nyuma yake itakayomuwezesha kufanya shughuli zake hata kama atakuwa kitandani miaka yote mitano au kufariki.
 
Jinsi ninavyoichukia ccm!!!!!Sidhani kama kuna mtu humu ndani anaweza kunielewa....
 
CCM bhanaa, walishindwa hata kuleta BVR zenye uhakika watu wakalala vituoni kwaajili ya kujiandikisha eti Leo niwape kura yangu wakati hata Yale maisha bora waliotiahidi yameishia kwao na familia zao,
 
Ama kweli kuna watu wajinga sana duniani,hivi huu nao ni uzi?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpigia kura lowassa kwa machafu aliyoyafanya kwa watanzania???
mtu yeyote atakaye mpigia kura lowassa atalaaniwa milele.
 
Kwa hiyo Lowassa aliingia kwenye ile orodha ya Mwembeyanga kwa kigezo cha kuwa mmeo au?

Au ile ilikuwa orodha ya mabasha wa CDM?

Mlisema wenyewe kuwa jamaa ni fisadi na ushahidi mnao sasa mnataka ushahidi upi?

Rudini Mwembeyanga mkaseme ile orodha mliikosea heading wale ni waume zenu.

Lazima mlipe gharama za uropokaji.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ama kweli kuna watu wajinga sana duniani,hivi huu nao ni uzi?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumpigia kura lowassa kwa machafu aliyoyafanya kwa watanzania???
mtu yeyote atakaye mpigia kura lowassa atalaaniwa milele.

Machafu ya Magufuli yameanishwa kwenye ripoti ya CAG. Unapata wapi ujasiri wa kumuunga mkono ili aendeleze wizi wake na sasa kama Rais kama aliweza kuwa na mkono mrefu kiasi kile akiwa kama Waziri tu?

Machafu gani hayo aliyoyafanya Lowassa kwa Watanzania? Yamethibitishwa na nani? Kama unayajua kwa nini usimburuze makamani kama wewe mwenyewe sio mwizi? Unawezaje kumuacha mwizi aliyeiba mali ya umma kwa mabililoni wakati unajua kabisa kaiba bila ya wewe mwenyewe kuwa mwizi?

CCM mtaendelea kubaki kuwa na haki ya kuitwa wezi wa kubwa wa nchi hii mpaka mtakapowaburuta mahakamani wezi wote walioifilisi nchi hii kwa madudu ya kabla, Richmond yenyewe na baada ya hapo.
 
Kwa hiyo Lowassa aliingia kwenye ile orodha ya Mwembeyanga kwa kigezo cha kuwa mmeo au?

Au ile ilikuwa orodha ya mabasha wa CDM?

Mlisema wenyewe kuwa jamaa ni fisadi na ushahidi mnao sasa mnataka ushahidi upi?

Rudini Mwembeyanga mkaseme ile orodha mliikosea heading wale ni waume zenu.

Lazima mlipe gharama za uropokaji.

Kama ni CDM ndio iliosema Lowassa ni Fisadi wa Richmond kwa hiyo unataka kuniambia kwamba CCM mnamuhukumu Lowassa kwa ushahidi uliotangazwa kwenye jukwaa la siasa na CHADEMA? Unataka kuniambia kwamba mmefikia kiasi hicho cha kumtenga, kumbagua, kumtukana, kumnyanyasa simply kwa sababu CHADEMA walisema Lowassa fisadi?

Kama ni hivyo basi mnazidi kudhihirisha utaahira wenu kwani huwezi kumuhukumu mtu kwa kusikia tu kutoka kwenye mkutano wa siasa na hasa kwa CCM kwani Kikwete anafahamu vizuri nani ni mwizi kwenye mradi wa Richmond na hivyo alitakiwa amburute mahakamani kama yeye mwenyewe sio mwizi. Kwa sababu hajafanya hivyo, tafsiri pekee hapa ni kwamba mwizi ni Kikwete mwenyewe na Serikali yake.
 
kila mtu na akili zake .. hapa tunaangalia uwezo wa mtu kuongoza na sio chama..
nasema wazi kama ccm wangempitisha lowassa na chadema wakampitisha slaa ningekuwa radhi kumchagua slaa....
lakini naahukuru lowassa alikatwa .. Siiungi mkono chadema sio kwa sababu ni chadema bali ni kwa sababu waliyempitisha ni lowassa.. yule mzee hafai kuongoza hata kijiji..
mara mia ccm waendelee kutawala miaka mia kuliko lowassa kutawala mwaka mmoja

Kenge kama nyie mmebaki wachache sana..kama wewe unataka kutawaliwa na ccm na wizi wao miaka mia sisi wananchi wakombozi wa nchi hii tunasema enough is enough. .to hell with ccm..the 2nd freedom is comming soon! Wote jamani wenye uchungu na nchi yetu..tulio na vichinjio..n'gombe kaanguka anapiga mateke tu yuu karibu kukata roho october25 tutoke kwa wingi tukammalizie!
 
Nauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.

Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza kuwa na ushahidi ambao kama kweli alikwapua basi walitakiwa wawe wameshamburuta mahakamani tangu wakati ushahidi ulipopatikana kama kweli wanauchukia wizi wa mali ya umma na kama kweli wao wenyewe sio wezi.

Magufuli sio tu anatuhumiwa bali kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ukimuhusisha na taarifa za uongo za kudai mabilioni ya pesa yametumika kujenga barabara wakati sio hivyo. Ni wazi kwamba Magufuli kakwapua hizo hela na hivyo HAFAI KUKAA IKULU HATA SEKUNDE MOJA.

Sasa jiulizeni hivi CCM imeshindwa kuja na mgombea wake ambaye sio mwizi? Kwa nini waweke mgombea ambaye ni mwizi kama wao wenyewe sio wezi?

Kifupi ni kwamba Magufuli atapigiwa kura tu na wezi wenzake wanaoliibia taifa hili usiku na mchana bila kunawa na hivyo kulifanya taifa hili lenye rasilimali lukuki kuendelea kuwa taifa masikini.

Watanzania wote wenye uchungu na nchi yao kama wamepewa kuchagua wa kumpigia kura kati ya mtu anayetuhumiwa tu bila ushahidi wowote na ambaye ameshathibitishwa kwamba ni mwizi na taasisi maalum yenye utaalamu kuhusu uthibitishaji huo basi watapiga kura kwa yule ambaye hajathibitishwa kwamba ni mwizi.

Je wewe kura yako iko kwa nani kati ya hawa wawili?

Lowassa alipokuwa ccm, alikuwa viazi vya kukaanga, kaenda chadema tunalazimishwa kuamini kuwa ni 'chips'!
Huku wapambe wake wakiamini kuna tofauti ! ..... maajabu !
 
Back
Top Bottom