Siku zote ni CCM ndio inayopigiwa kura. Hao wengine ni wasindikizaji tu------->>>>Endapo atatokea wa kuipigia ccm italazimu kwanza AKAPIMWE AKILI YAKE
NDANI YA CCM 75% NI TIMU LOWASA!!
Wewe ndo hauko timamu!!!Nauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.
Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza kuwa na ushahidi ambao kama kweli alikwapua basi walitakiwa wawe wameshamburuta mahakamani tangu wakati ushahidi ulipopatikana kama kweli wanauchukia wizi wa mali ya umma na kama kweli wao wenyewe sio wezi.
Magufuli sio tu anatuhumiwa bali kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ukimuhusisha na taarifa za uongo za kudai mabilioni ya pesa yametumika kujenga barabara wakati sio hivyo. Ni wazi kwamba Magufuli kakwapua hizo hela na hivyo HAFAI KUKAA IKULU HATA SEKUNDE MOJA.
Sasa jiulizeni hivi CCM imeshindwa kuja na mgombea wake ambaye sio mwizi? Kwa nini waweke mgombea ambaye ni mwizi kama wao wenyewe sio wezi?
Kifupi ni kwamba Magufuli atapigiwa kura tu na wezi wenzake wanaoliibia taifa hili usiku na mchana bila kunawa na hivyo kulifanya taifa hili lenye rasilimali lukuki kuendelea kuwa taifa masikini.
Watanzania wote wenye uchungu na nchi yao kama wamepewa kuchagua wa kumpigia kura kati ya mtu anayetuhumiwa tu bila ushahidi wowote na ambaye ameshathibitishwa kwamba ni mwizi na taasisi maalum yenye utaalamu kuhusu uthibitishaji huo basi watapiga kura kwa yule ambaye hajathibitishwa kwamba ni mwizi.
Je wewe kura yako iko kwa nani kati ya hawa wawili?
Mtu anayempigia mtu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akitangazwa ni mchafu kimaadili na mpaka alitimuliwa ktk ofisi ya umma kwa kushindwa kuwa muadilifu ghafla tena baada ya kuambiwa na chama chake kuwa yeye bado hana sifa za kuwa kiongozi muadirifu then wewe unampigiaje kura mtu wa sampuli hiyo. Mtu ambaye atampigia mtu huyo namshangaaNauliza swali hilo kwa kigezo kimoja tu nacho ni wizi wa mali ya umma.
Lowassa anatuhumiwa kwenye wizi wa Richmond bila ushahidi wowote ule mpaka sasa. Wanaomtuhumu ni walewale ambao wanaoweza kuwa na ushahidi ambao kama kweli alikwapua basi walitakiwa wawe wameshamburuta mahakamani tangu wakati ushahidi ulipopatikana kama kweli wanauchukia wizi wa mali ya umma na kama kweli wao wenyewe sio wezi.
Magufuli sio tu anatuhumiwa bali kuna ushahidi wa kitaalam uliotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ukimuhusisha na taarifa za uongo za kudai mabilioni ya pesa yametumika kujenga barabara wakati sio hivyo. Ni wazi kwamba Magufuli kakwapua hizo hela na hivyo HAFAI KUKAA IKULU HATA SEKUNDE MOJA.
Sasa jiulizeni hivi CCM imeshindwa kuja na mgombea wake ambaye sio mwizi? Kwa nini waweke mgombea ambaye ni mwizi kama wao wenyewe sio wezi?
Kifupi ni kwamba Magufuli atapigiwa kura tu na wezi wenzake wanaoliibia taifa hili usiku na mchana bila kunawa na hivyo kulifanya taifa hili lenye rasilimali lukuki kuendelea kuwa taifa masikini.
Watanzania wote wenye uchungu na nchi yao kama wamepewa kuchagua wa kumpigia kura kati ya mtu anayetuhumiwa tu bila ushahidi wowote na ambaye ameshathibitishwa kwamba ni mwizi na taasisi maalum yenye utaalamu kuhusu uthibitishaji huo basi watapiga kura kwa yule ambaye hajathibitishwa kwamba ni mwizi.
Je wewe kura yako iko kwa nani kati ya hawa wawili?
Mbona unaongea kinyume? Mataahira wote na misukule ndio watakaompigia kura Lowasa
Mtu anayempigia mtu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akitangazwa ni mchafu kimaadili na mpaka alitimuliwa ktk ofisi ya umma kwa kushindwa kuwa muadilifu ghafla tena baada ya kuambiwa na chama chake kuwa yeye bado hana sifa za kuwa kiongozi muadirifu then wewe unampigiaje kura mtu wa sampuli hiyo. Mtu ambaye atampigia mtu huyo namshangaa

Wewe ndo hauko timamu!!!
------->>>>Endapo atatokea wa kuipigia ccm italazimu kwanza AKAPIMWE AKILI YAKE
NDANI YA CCM 75% NI TIMU LOWASA!!
Ushahidi wa wizi wa EL anao Dr Slaa huko mafichoni.Huo wizi Magufuli unaujua wewe tu..