Hivi kuna mtu ataaply kusomea Ualimu wa Arts?

Hivi kuna mtu ataaply kusomea Ualimu wa Arts?

IMG_20230715_210226_8.jpg
 
Mkuu ebu waeleze vijana wa HKL na One zao wasome nini chenye unafuu maana hakuna uhakika kabisa, Mimi nimeshindwa nimshauri nini dogo zaidi tu nimemwambia kama wewe aukimbie Ualimu wa Sanaa.
Vijana Wapewe Mwongozo tafadhali.
Binafsi nilisoma law akiweza akaribie huku ila ajue law school pale sahivi ni 3 milion na chance ya kutoboa ni 20%.
 
Mzee nipe ABC ya hii LAW mdogo wangu amemaliza HGE ana one natamani asome hii course. Vyuo bora ni vipi?
Vyuo vinatofautiana miaka ya kusoma Law kuna vya miaka 4 na vya miaka 3. Binafsi vyuo bora law ni UD, Tumaini Makumira zote mbili Dar na Arusha, SAUTI na Mzumbe.

Hapo SAUTI na UD ni miaka 4, ila Tumaini na Mzumbe ni miaka 3. Na binafsi naweza kusema bora akasoma moja ya ivyo vyuo vya miaka 3 hasa Tumaini Makumira sababu atafundishwa.

Baada ya digrii ataanza safari ya Law school ambayo ni mwaka mmoja, hapo ataenda kufundishwa vitu vipya kabisa kuhusu sheria na mafunzo ya wakili (amini 90% ya aliyosoma digrii hatoyatumia hapo law school) kifupi ni kuwa ataenda kuanza upya kuisoma na kuijua sheria. Akifaulu atafanya maombi kwa Jaji Mkuu ya kuapishwa ili kuwa wakili wa Mahakama Kuu.

Jambo muhimu ni kuwa kama anataka kuwa mwanasheria active law school ni lazima sana kwenda, sababu bila hiyo hatoweza kufanya kazi za sheria.

Sheria ni fani nzuri sana japo inahitaji kujitoa, kusoma, kuipenda na kuelewa mambo kwa wepesi Mkuu.
 
Ahsante sana mkuu umenipa madini ya kutosha kabisa.
 
Mtu wnaona hali ilivyo,halafu anaenda chuo kusoma BED PPM,halafu teaching subject ni history,aisee.... sijui lakini Kama anakua amewaza nini.
 
Sasa Kwan chuo kikuu mtu akitaka kuenda kusoma ni lazima tu apitie form 6 tu ??? Na degree kaonja ya computer science ka postpone kwa sababu alipatwa na shida Fulani hvi hla uko kote kachanja mbuga na admission ya chuo kikuu alipata kama c matatizo mwakani angeitimu mambo yanawezekana
Sasa tunaongelea HKL,
Mtu atawezaje kuwa Hkl kama hajapita dvance hiyo form 6 unayoita????

Watu tunaongelea shahada/bachelor ww unaleta mambo ya diploma ambayo mtu mwenye D nne za o level anaweza akaunga had aipate itategemea ni D za somo gani
 
Kimsingi kama walivyosema wadau kuhusu ualimu wa sanaa asijichanganye mtu kwa hiari yake, maana wapo ambao kutokana na ufauru wao wanakosaga vyuo kazi zote watu wanajaa so wanabaki na kozi za wasizokuwa na malengo nao so wanasomo ili wahitimu tu.
Bt kwa Hkl na mfank wa kozi kama hizo za sana zifutazo ni baadhi ya kozi nzuri yaani zenye bright future
Law
Businness administration
Linguistic au kiswahili (ususani kiswahili maana kuna mashavu mengi ukalimani lugha inakuwa sana)
HR
Procurement
Records management & archives
Tourism Etc

Ukitaka kujua potentiality ya kozi angalia post zake namba za nafasi zinazotangazwa na interval baina ya post na post
 
S
Sasa tunaongelea HKL,
Mtu atawezaje kuwa Hkl kama hajapita dvance hiyo form 6 unayoita????

Watu tunaongelea shahada/bachelor ww unaleta mambo ya diploma ambayo mtu mwenye D nne za o level anaweza akaunga had aipate itategemea ni D za somo gani
Soma vzuri comment zangu za juu utakua ujanielewa na hkl akiamua pasi na diploma atumie tu chet Cha advance hkl kuomba kudahiliwa chuo kikuu asome IT anakubaliwa na anasona hyo ndo hoja
 
S

Soma vzuri comment zangu za juu utakua ujanielewa na hkl akiamua pasi na diploma atumie tu chet Cha advance hkl kuomba kudahiliwa chuo kikuu asome IT anakubaliwa na anasona hyo ndo hoja
Hapo sasa maana yake hajafanya vzr advance ndo maana wenzake wanaenda shahada yeye anaenda diploma,
Na hiyo watazingatia matokeo ya o level kama alisoma sanaa pia plus F ya math kuna kozi hatoweza kuzisoma ikiwamo hiyo IT n.k
 
Back
Top Bottom