Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,265
- 1,742
Hapo Mkuu inakubidi uende ndani zaidi na kubainisha uwepo wa kitu inaitwa Evil Spirits. Evil = mbaya; Spirits =roho. Ukiunganisha unapata Evil Spirits. Unapomzungumzia mtu (singular) ndo unasema Evil spirit. Tukirudi katika hoja yako hapo juu; Roho ailiyo ndani ya mtu ndiyo inayomtambulisha yy ni mtu wa namna gani. e.g. Mtu mkatili, mtu mkorofi - muda mwingi ni kuzozana na wenzake; hakubali kupatana au kuwaheshimu wenzake i.e. watu humsema kuwa ni mtu mbaya. Sio kwa sura bali ni kwa matendo/hulka yake. Hatangamani na watu wenzake.Unaweza kuwianisha kauli hiyo (ya kiingereza) na kutueleza uwepo/uhalisia wa hiyo roho?
Kama ulivyojenga hoja yako hapa