Hivi kuna maisha baada ya kifo?

Unaweza kuwianisha kauli hiyo (ya kiingereza) na kutueleza uwepo/uhalisia wa hiyo roho?

Kama ulivyojenga hoja yako hapa
Hapo Mkuu inakubidi uende ndani zaidi na kubainisha uwepo wa kitu inaitwa Evil Spirits. Evil = mbaya; Spirits =roho. Ukiunganisha unapata Evil Spirits. Unapomzungumzia mtu (singular) ndo unasema Evil spirit. Tukirudi katika hoja yako hapo juu; Roho ailiyo ndani ya mtu ndiyo inayomtambulisha yy ni mtu wa namna gani. e.g. Mtu mkatili, mtu mkorofi - muda mwingi ni kuzozana na wenzake; hakubali kupatana au kuwaheshimu wenzake i.e. watu humsema kuwa ni mtu mbaya. Sio kwa sura bali ni kwa matendo/hulka yake. Hatangamani na watu wenzake.
 
Hatujapatana bado.

Lengo langu nikukuonesha mapungufu ya lugha ya kiswahili.

Umejaribu kutuaminisha roho kupitia hoja yako hii
Nina hakika Umewahi kusikia mara nyingi watu wakisema ''Aisee, Huyo jamaa ana roho mbaya sana kaa naye mabali" Je, kwa nini wasiseme ana moyo mbaya? Hiyo roho wanamaanisha waliionaje/nini?
Nikataka unafahamu kwamba tukienda katika muktadha wa lugha tofauti, habari ya roho kupitia mfano wako huo inakosa nguvu?

Na unaelewa habari za evil spirit zimekaa kidini (hasa dini za kiAbramic) lakini watu ambao hawana imani hawatumii kauli kama hizo?
 
Unaelewa hata maana ya kifo?

Kwanini unataka kuwepo na maisha ilihali umeshakufa?

Mitume na manaabii + vitabu hivyo unavyoviamini, je ni vya kweli..??

Ukigundua kama haabari za manabii, mitume na vitabu hivyo ulivyodanganywa kwamba vimeteremshwa kutoka sehemu isiyopo (mbinguni) ni za uongo na zimejaa migongano ya wazi kabisa utaendelea kusema kuna maisha mengine baada ya kufa?
Imani haika pamoja na Shaka Wala dhana, hoja za kuthibitisha vitabu Ni vya kweli Ni nying tu na zmeishnda hyo dhana ya kutokuwepo.
 
Imani haika pamoja na Shaka Wala dhana, hoja za kuthibitisha vitabu Ni vya kweli Ni nying tu na zmeishnda hyo dhana ya kutokuwepo.
Imani ni nini?

Unaweza kunipa/kunionesha ukweli ama uhalali wa vitabu hivyo visivyojua hata jua linaenda wapi usiku!?
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Kuna maisha baada ya kifo jibu ni ndio ndio ndio
 
Nashukuru kwa jibu lako murua kabisa , nahitaji kujua maana ya kufa/kifo ni ipi?
GRACE NASHKURU KWA KUYAPOKEA MAJIBU NILIYOKUPATIA. SASA UNATAKA KUJUA MAANA YA KUFA. KWANZA KABISA KABLA YA KUJIBU SWALI LAKO NAPENDA UFAHAMU TU KUWA QURANI TUKUFU IMESEMA SAHIHI MNO KUWA KILA NAFSI ITAKUFA NDIO MAANA UNAONA SI MATAJIRI, MASIKINI, VIONGOZI NA WENGINEO WANAKUFA NI KWA SABABU YA AHADI YA ALLAH KUWA NAFSI ZOTE ZITAKUFA:

{ كُلُّ نَفۡسٖ ذَآئِقَةُ ٱلۡمَوۡتِۖ ثُمَّ إِلَيۡنَا تُرۡجَعُونَ }

[Surah Al-ʿAnkabūt: 57]

Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.

SASA TWENDE KWENYE SWALI LAKO. MAANA YA KUFA NI PALE ROHO INAPOTOKA NDANI YA KIWILIWILI CHA KIUMBE. NA ROHO NI NINI???. KWA MUJIBU WA QURAN TUKUFU, ALLAH AMETUPA ILIMU NDOGO YA ROHO;

{ وَيَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلرُّوحِۖ قُلِ ٱلرُّوحُ مِنۡ أَمۡرِ رَبِّي وَمَآ أُوتِيتُم مِّنَ ٱلۡعِلۡمِ إِلَّا قَلِيلٗا }
[Surah Al-Isrāʾ: 85]

Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

ROHO HUTOLEWA NDANI YA KIWILI WILI NA MALAIKA WA MAUTI.

AHSANTE.
 
Wewe binafsi unakubaliana na hayo majibu ya Quran? Na kama ndio unakubaliana nayo basi kwanini isiseme roho ipo wapi ila inasema roho inatolewa? Yaani kabla haijatolewa mda huo inakuwa katika sehemu gani ya mwili?
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Hizi ni imani tu hakuna anaeweza kuthibitisha pasi na shaka
 
Habari wana JF,

Hivi kuna maisha baada ya kifo?
Au bado sijui maana ya kifo?
Yaani babu yangu liyemzaa bibi yangu bado anaishi baada ya kufa? Kwamba hawa waliokufa wanaishi ila waneshakufa?

Au naombeni maana ya kifo ili ning'amue huu mzozo.

(Kuna mtu kaniambia kuwa kuna maisha baada ya kufa)
Unaulizia njia hali yakuwa umeikanyaga!!?
 
Nope ushahid wa kielimu kwamba dunia Haina mwisho.
Hakuna elimu yoyote inayothibitisha umwisho wa dunia. Tumia tu akili na fikra zako kwamba kwanini iwe na mwisho wakati ndio sayari pekee mpaka sasa ikitokea kusapoti uhai. Aliyeweka hivi sio mjinga na hakuna mahali kakwambia itafika mwisho
 
Wewe binafsi unakubaliana na hayo majibu ya Quran? Na kama ndio unakubaliana nayo basi kwanini isiseme roho ipo wapi ila inasema roho inatolewa? Yaani kabla haijatolewa mda huo inakuwa katika sehemu gani ya mwili?
Grace, wacha nieleze kidogo kuhusu maneno ya Allah kuhusu Roho; Kwanza mimi nayakubali majibu ya Quran kwa asilimia zote. Sina wasi wasi hata kidogo na kuamini Qurani.

Pili, sasa wacha nieleze kuhusu Roho. Roho ni siri ya Allaah (‘Azza wa Jalla), hakuna ajuaye siri hiyo hata Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) hakujulishwa. Anasema Allaah (Subhaanau wa Ta’aalaa) katika Quran tukufu:

Na wanakuuliza kuhusu roho. Sema: “Roho ni katika amri ya Rabb wangu. Na hamkupewa ujuzi isipokuwa kidogo tu.” [Al-Israa: 85]

Kwa hiyo hakuna yeyote yule awezaye kuumba roho hata ya kidudu, na Allaah (‘Azza wa Jalla) Ametoa changamoto kwa wanaoabudu na wanaoabudiwa pasi Naye kwamba hawataweza kamwe kuumba roho hata ya nzi kama Anavyosema;

Enyi watu! Imepigwa mfano basi isikilizeni kwa makini! Hakika wale mnaowaomba badala ya Allaah hawawezi kuumba nzi japo wakijumuika kwa hilo. Na nzi akiwapokonya kitu chochote kile hawawezi kukiambua tena. Amedhoofika mwenye kutaka matilabu na mwenye kutakiwa.
Grace, nakueleza kuwa, hali hiyo ya roho kuwa katika asili yake inaitwa asili ya maumbile, na imaanisha pia ni kuelemea katika Dini ya haki inayowapasa wana Aadam wote waifuate, na kwamba wajiepushe na upotofu kama Anavyosema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

Basi elekeza uso wako kwenye Dini yenye kujiengua na upotofu inayoelemea haki. Umbile la asili la kumpwekesha Allaah Aliyowaumbia watu. Hakuna mabadiliko katika uumbaji wa Allaah. Hivyo ndio Dini iliyonyooka sawasawa, lakini watu wengi hawajui. [Ar-Ruwm: 30]

Grace, namalizia kwa kukuelezea kuwa, kwa ufupi kwa mujibu wa Allah sisi wanaadamu tumepewa elimu ndogo ya Roho. Nakuhakikishia hutapata maelezo ya kina kuhusu Roho kwa mtu yeyote hapa duniani.
 
Kifo na maisha ni pande mbili katika umoja kwa maana ya kwamba hakuna maisha bila kifo halikadhalika hakuna kifo bila maisha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom