Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,393
- 105,944
But I am not talking about identities or labels, neither the ones given by others nor self identified.Baada ya kufikiria hili jambo nimekuja na conclusion ifuatayo; As far as the onlookers are concerned we are just identities (labels) Jon Doe akiwa na miezi 2 (miaka sifuri); akiwa 20; na akiwa na miaka mia moja Ni nani ambaye ni Huyo Jon Doe; sababu hata memories huenda at 100 akawa hana hizo memory na akawa ni dubwasha tu kama alivyokuwa akiwa na miezi 2; and absolutely nothing is the same as he was at his childhood...
Pili identity inategemea muda unaokaa na zile features (Hata mashati fulani tuliya-identify kwamba ni mashati ya Mandela) au hio Ship huenda ule mlingoti uliowekwa at year 50 kwa miaka mingine hamsini watu wali-identify na huo mlingoti ingawa huenda at year 10 hata huo mlingoti haukuwepo...
Thus we are just Identities / labels as far as onlookers are concerned; As far as we are we are concerned we are who we are at that particular age (childhood, teens, adulthood or old age)
Obama anaitwa black, yeye anajiita black, but he is actually biracial. Mama yake mzungu.