eng. bila pure maths hii wameanza mwaka ganiMkuu ni vya kawaida tuu endapo ukitia nia.
Nimepiga hiyo Mechanical Engineering mwanzoni ilinizingua sana kwasababu sikusoma Pure Mathematics hasa kwenye Triple Integration, pia Mechatronicsinachanganya kidogo.
Lakini hapo kwenye Quantum physics ndio Kuna kamziki formula nyingi sana huwa naifananisha na BIOCHEMISTRY.
All in all hakuna jambo gumu ni maamuzi tuu.
Mkuu umefuatilia vyuo vyote vya Engineering ukajua hakuna chuo kinachotoa degree pasipo kusoma pure??eng. bila pure maths hii wameanza mwaka gani
sikua nafahamu aiseeMkuu umefuatilia vyuo vyote vya Engineering ukajua hakuna chuo kinachotoa degree pasipo kusoma pure??
Pale DMI wengi tuu wamepita.
Sawa sawa mkuusikua nafahamu aisee
AkhiQuantum entanglement.
Time dependent and time independent schrodinger equations.
Quantum perturbation theory.
Power series expansion.
Schrodinger equation in spherical coordinates.
Hapo kama una vihesabu vyako vya kuokoteza lazima ukimbie.
Mkuu,Ugumu wake ni upi hapo? Masomo yenye formula yanakuwaje magumu? Ukishaelewa vitu kama Calculus, Linear Algebra, Complex Numbers, Probability & Statistics na Classical Physics (hasa Mechanics na Waves) kipi kitakushinda hapo?
Binafsi masomo magumu ambayo kwa kweli huwa nashangaa sana wanao yasoma ni kama Sociology, political science, diplomacy, economics na mengineyo ya aina hiyo.
Unasoma vitu ambavyo vinaishia vitabuni, havipo implemntable kabisa. Wasomi wake ni wengi lakini hata uwape nafasi ya kufanyia kazi, bado social status ku improve ni miujiza, mmesoma program moja, lakini implimentation yake inatofautiana kabisa nchi na nchi. Huwa siyaelewi kabisa
πMkuu,
Ukitoa topic ya wave na mechanics, hzo zingne ulizotaja ndo uchumi wenyewe huo
Yaani hajui kuwa kuna kitu kinaitwa QM, ECONOMETRICS, INTERMEDIATE EC ZOTE NI MAHESABU TUPU...Mwambie ageuze hizi wave na mechanics kuwa hela
Halafu mimi nitumie degree yangu ya political science kuchukua kadi ya chama tupime
Kwani Wwave na mechanics ni nadharia? Si ndiyo tunayotumia kutengeneza mifumo ya solar na pampu za maji, mifumo ya mawasiliano (wireless/radio), sensa za usalama, teknolojia za nishati na uhandisi. wave na mechanics ni bonge la biashara yenye pesa ya maanaπ
Mwambie ageuze hizi wave na mechanics kuwa hela
Halafu mimi nitumie degree yangu ya political science kuchukua kadi ya chama tupime
Ukiwa mzuri kwenye kucheza na namba hapo wala hakuna ugumu wowote, vitu huwa vinatiririka tu naturally. Kama haukuwa genius kwenye hisabati haya mambo lazima uyaone magumu, kwa wengine it's easier kucheza na namba kuliko kukakamia kuelewa maelezo marefu(notes).