Hivi kuna haja ya kuzaa?

I shake hand with tetere & SONGOKA na kwa kuongezea tu kama mliwai kushiriki kutoa mimba any of you lazima mwombe na kuvunja coz kuna damu inawalilia katika ardhi just in case
 
Last edited by a moderator:
usikate tamaa....just have your time....god always note this in his record and will work around
 
wala haliitaji ushauri kama kweli na wewe ni binadamu lazima la kuzaa litakugusa tu na mke litamtesa sana , ghafla mtoto mumpate ukubwani 48 up to 50yrs basi mtoto huyo atakuwa mburulula maana atadeka huyo , kwa kifupi kuzaa ni muhimu sana tofauti na jinsi wanavyokudanganya wengine , hata nafsi yako inatambua hivyo , ingawa kuna changamoto zake kama hizo zinazokukuta ,ambayo njia yake ni kumuomba mungu tu upate delivarance. usikubaliane na waganga wa kienyeji ku solve mambo ya mimba , unaweza kutengeneza janga zaidi ya hilo , akazaliwa mtoto ambaye ni jini
 
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?

huyo mke wako alishatoa mimba waqt wa ujana wake. tafuta nyumba ndogo zaa achana na hilo kopo
 
... Mods hii CONTENT ni ya MMU...
KWANIN IPO HUKU...
Moderator
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana Mkuu. Una mapenzi ya kweli kwa mkeo. Kwa jamii zetu za Kitanzania unaweza ukapata pressure ya hali ya juu toka kwa nduguzo wa karibu kwamba upate mtoto wa nje hata mmoja, lakini hakuna lazima wa kufanya hivyo kama mwenyewe hukubaliani na matakwa ambayo ndugu wanaweza kukwambia uyafanye. Kupata watoto ni majaliwa ya Mungu kama matukio hayo mawili yaliyowakuta wewe binafsi au wote wawili hamtaki kujaribu tena ujauzito mwingine basi mshukuruni Mungu na muendelee na maisha yenu.

n
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?
 
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?

Nenda kwa specialist awashauri kama inawezekana au la.... Mtoto muhimu sana lakini kama unaweka maisha ya shemeji hatarini kisa mtoto you better go for other options like surrogacy or adoption
 
Pole Mkuu! usikate tamaa.Mwaweza kujipa muda wa kupuzmika walau kwa miaka tena miwili na kujaribu tena.
 
Pole sana mh. Kwanza tibu tatizo,kukata tamaa ni dhambi,pia usishawishiwe na mtu yoyote hata kama ni wazazi wako kumwacha mke wako au kuoa mwingine ili kupata unachokitaka,onana na madaktari bigwa wa matatizo ya uzazi kwa wanawake,pia kuna chango ambazo mara nyingi hutibiwa kienyeji. Ni vema ungeweka na namba zako za simu mengine hatuwezi kuyasema hapa jf kutokana na utovu wa nidham kwa baadhi yetu.
 
Mtoto ni muhimu mkuu embu jaribu tiba ya kienyeji kama hio ya kisasa imeshindikana na pia mtangulize mungu kwa kila jambo unalofanya .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom