Hivi kuna haja ya kuzaa?

Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?

pole sana mkuu. La muhimu usikate tamaa, kupata mtoto ni mapenzi ya Mungu. Mama apumzike tena, na kwa imani mnaweza kufanikiwa hapo baadae.. akipata mimba awe chini ya uangalizi wa daktari wa wanawake. Nina rafiki yangu alipitia vipindi vigumu sana kama hivi kwa watoto wa2 wa 1 alikufa alipozaliwa wapili mimba ikaharibika ikiwa na miezi 6 karibu itoke na roho ya mama. But kwa sasa ana mtoto mchanga.
 
Ahsante mkuu...unajua it' dissapointing, time consuming and economic disruption...imagine unatumia muda mwingi na unaishia kupata vitu kama hivyo...ni rahisi kusema vumilia but it hurts...ila wakuu nashukuruni kwa ushauri wenu pia ntazidi kuzifanyia kazi..
 
Nakushauri mkacheki blood groups kuna kitu kinaitwa rhesus factor huwa ina leta shida kwenye upande wa kupata watoto nenda hosp ukaeleweshwe vzr
 
  • Thanks
Reactions: ram
pole mkuu, usikate tamaa. changamoto ni sehemu ya maisha ya binadamu, hauko peke yako wako wengine wenye magumu zaidi ya hayo unayopitia. mwamini muumba wako, endelea kumwomba. Kids are so sweet, usichoke.
 
Naomba kujua huyu bibi alikusaidia dawa gani yani za hospitali au za kienyeji ikapelekea wife kuacha kubleed sana
 
Thanks mkuu, Kimsingi swala la kupata mtoto though ni biological lakini linadepend na baraka za mungu sana. Nakuomba weka imani yako katika hili naloenda kukushauri kwani utaona matunda yake.

SALI KWA MWEZI MZIMA ZABURI YA 143. ASUBUHI UNAPOAMKA NA JIONI UNAPOLALA. NA KWA MUDA HUU WOTE USIFANYE MAPENZI NA MKEO. BAADA YA SIKU 30 MWAMBIE MKEO MUANZE KUINGILIANA. HAKIKA UTAPATA MTOTO Bila matatizo yeyote.TAFADHARI NAKUOMBA UNIAMINI NA UFANYE HIVYO NDUGU YANGU. MIMI NIMEFANIKIWA KUPITIA NGUVU YA MAOMBI HAYA, NILIKATA TAMAA KAMA WEWE, LAKINI KWA NJIA HII SASA NI MTU MWENYE FURAHA MAISHANI.
SALA YENYEWE NI HII: UNAWEZA KUTUMIA YA KISWAHILI PIA KUTOKA KWA BIBLIA YA KISWAHILI

[h=3]Psalm 143[/h][h=4]A psalm of David.[/h][SUP]1 [/SUP]Lord, hear my prayer,
listen to my cry for mercy;
in your faithfulness and righteousness
come to my relief.
[SUP]2 [/SUP]Do not bring your servant into judgment,
for no one living is righteous before you.
[SUP]3 [/SUP]The enemy pursues me,
he crushes me to the ground;
he makes me dwell in the darkness
like those long dead.
[SUP]4 [/SUP]So my spirit grows faint within me;
my heart within me is dismayed.
[SUP]5 [/SUP]I remember the days of long ago;
I meditate on all your works
and consider what your hands have done.
[SUP]6 [/SUP]I spread out my hands to you;
I thirst for you like a parched land.[SUP][a][/SUP]

[SUP]7 [/SUP]Answer me quickly, Lord;
my spirit fails.
Do not hide your face from me
or I will be like those who go down to the pit.
[SUP]8 [/SUP]Let the morning bring me word of your unfailing love,
for I have put my trust in you.
Show me the way I should go,
for to you I entrust my life.
[SUP]9 [/SUP]Rescue me from my enemies, Lord,
for I hide myself in you.
[SUP]10 [/SUP]Teach me to do your will,
for you are my God;
may your good Spirit
lead me on level ground.

[SUP]11 [/SUP]For your name's sake, Lord, preserve my life;
in your righteousness, bring me out of trouble.
[SUP]12 [/SUP]In your unfailing love, silence my enemies;
destroy all my foes,
for I am your servant.

Hii sala nimeipenda...nadhani unaweza kusali kwa ajili ya kuomba kitu chochote...
 
Kifulambute,
Ninaamini unataka suluhisho la tatizo lako au unataka ushauri baada ya tatizo lako kwisha.
1. Umesema mke wako alikuwa ana matatizo akiwa mja mzito na kila akipata watoto wanafariki katika mazingira uliyoyaeleza.
2. Umesema mke wako alikuwa na shida ya ku-beed mfululizo - na umetafuta dawa sehemu tofauti, ila kuna dawa kakupeni bibi inaonekana imefanya kazi, na sasa mke wako hana tena tatizo la ku-bleed isipokuwa nyie wote hamna hakika kama matatizo ya kuweka mimba ikawa salama hadi kuzaa salama yamekwisha.

USHAURI WANGU:
Sijui kama wewe peke yako ndiye unayetafuta ushauri au msimamo unaotaka kuchukua mkeo ataridhia nao. Ni vizuri kama ningeweza kujua msimamo wa mke wako pia.Maana kimsingi mke wako anahitaji msaada mkubwa kuliko wewe maana yeye ndie mbeba mimba, mtunza mimba na mzaaji pia.

(a). Kuzaa au kuto kuzaa sioni kama ni swala la msingi kwa sasa, kama ilivyo muhimu kwamba tatizo hili utatatua vipi. Ninasimama kwenye hili sababu hili tatizo lingekuwa ni tatizo la kutokupata pesa - ungefanya nini???????? hivyo unahitaji kukomaa roho na mwili urudi tena mezani kuchora upya mkakati wa utatuzi!

(b) Matatizo mengi yanaelezeka na mengine huwa hayaelezeki (yaani ni kwamba kuna matatizo ambayo unaweza kuyaeleza kisayansi na ukatibiwa hospitali) na mengine sayansi ya utabibu haitoi majibu pia. Hivyo ni wakati pia wa kufikiria nje ya box.

(c) Umeonekana kama umefanya jitihada ya kutafuta solution ya tatizo hili - umekwenda hata kwa bibi. Maoni yangu ni kwamba unahitaji solution moja tu ambayo ni ya uhakika ili kupunguza mahangaiko na maumivu ya roho na mwili yatokanayo na disappointment ya aina yeyote katika safari yako hii ya kutafuta tiba.

SASA BASI:
1. Uzoefu wangu ni kwamba tatizo lako linaweza kuwa ni la magonjwa ya wanawake (gynecological).Ninaamini mkeo alishawaona madaktari bingwa na wakakusaidieni na ningependa kufikiri kwamba jitihada zao zimefikia hapo.

2. Niliona umejibu kuwa wewe ni mkristo na "umejaribu" kuomba sana.
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa matatizo yako yanahitaji maombi ya kuvunja madhabahu yeyote inayosema juu ya maisha yenu, inayodai damu. Ni rahisi kuliko unavyodhani. Tatizo isije ikawa wewe ni mmoja wa wale wanaopenda kuombewa na wachungaji wenye "upako". Amua ndani ya moyo wako kuwa umesimama kama mtoto wa Mungu, shujaa mpiganaji, kuhani wa bwana, wewe ni jasiri kwa kuwa Yesu aliyekuwa jasiri alikuwafa na akafufuka kwa ajili yako. Anza kuomba zaburi 51 na endelea na zaburi 35 zote na tafuta ahadi za Mungu juu ya maisha yako. Utatoboa tuuu (Satan can be taken out of your body muda wowote, shetani kumtoa ni rahisi sana, kitu kilicho kigumu kukibadilisha ni dhamiri yako(your will) .

3. Suala la kutokuzaa tena ni uamuzi mzuri sana, kama una hakika kwamba baada ya miaka 15 ijayo utasimamia uamuzi huu wa leo na hutajuta wala kulalamika kwamba ulijitahidi sana lakini hukujaaliwa (nina maana kwamba you will never come up with a victim psychology to explain that probably life has been unfair to you)
*Watu wengi wame adopt watoto
*Watu wengi wame nunua watoto
Yoote haya ni sawa. lakini kuna jambo ambalo ni gumu kulielezea - moyo wako utauma tuuu!

Ninayasema haya out of experience!
 
Kifalambute, niliwahi pata majibu ya mahitaji yangu ya maisha kwa kuomba Zaburi ya 51 na 35. Yaani kwa muda nikawa nalia nikianza na 51 na kupigana na 35. I can guarantee you, it worked for me, I dont know why it shouldnt work for you! Ingia kazini, focus on your need - surrenderyour will first,repent, cleanse your mind soul and spirit.Then you enter the battle:

Psalm 51

1 Have mercy on me, O God,
according to your unfailing love;
according to your great compassion
blot out my transgressions.
2 Wash away all my iniquity
and cleanse me from my sin.
3 For I know my transgressions,
and my sin is always before me.
4 Against you, you only, have I sinned
and done what is evil in your sight;
so you are right in your verdict
and justified when you judge.
5 Surely I was sinful at birth,
sinful from the time my mother conceived me.
6 Yet you desired faithfulness even in the womb;
you taught me wisdom in that secret place.
7 Cleanse me with hyssop, and I will be clean;
wash me, and I will be whiter than snow.
8 Let me hear joy and gladness;
let the bones you have crushed rejoice.
9 Hide your face from my sins
and blot out all my iniquity.
10 Create in me a pure heart, O God,
and renew a steadfast spirit within me.
11 Do not cast me from your presence
or take your Holy Spirit from me.
12 Restore to me the joy of your salvation
and grant me a willing spirit, to sustain me.
13 Then I will teach transgressors your ways,
so that sinners will turn back to you.
14 Deliver me from the guilt of bloodshed, O God,
you who are God my Savior,
and my tongue will sing of your righteousness.
15 Open my lips, Lord,
and my mouth will declare your praise.
16 You do not delight in sacrifice, or I would bring it;
you do not take pleasure in burnt offerings.
17 My sacrifice, O God, is a broken spirit;
a broken and contrite heart
you, God, will not despise.
18 May it please you to prosper Zion,
to build up the walls of Jerusalem.
19 Then you will delight in the sacrifices of the righteous,
in burnt offerings offered whole;
then bulls will be offered on your altar.

Psalm 35

Of David.

1 Contend, Lord, with those who contend with me;
fight against those who fight against me.
2 Take up shield and armor;
arise and come to my aid.
3 Brandish spear and javelin[a]
against those who pursue me.
Say to me,
"I am your salvation."
4 May those who seek my life
be disgraced and put to shame;
may those who plot my ruin
be turned back in dismay.
5 May they be like chaff before the wind,
with the angel of the Lord driving them away;
6 may their path be dark and slippery,
with the angel of the Lord pursuing them.
7 Since they hid their net for me without cause
and without cause dug a pit for me,
8 may ruin overtake them by surprise-
may the net they hid entangle them,
may they fall into the pit, to their ruin.
9 Then my soul will rejoice in the Lord
and delight in his salvation.
10 My whole being will exclaim,
"Who is like you, Lord?
You rescue the poor from those too strong for them,
the poor and needy from those who rob them."
11 Ruthless witnesses come forward;
they question me on things I know nothing about.
12 They repay me evil for good
and leave me like one bereaved.
13 Yet when they were ill, I put on sackcloth
and humbled myself with fasting.
When my prayers returned to me unanswered,
14 I went about mourning
as though for my friend or brother.
I bowed my head in grief
as though weeping for my mother.
15 But when I stumbled, they gathered in glee;
assailants gathered against me without my knowledge.
They slandered me without ceasing.
16 Like the ungodly they maliciously mocked;
they gnashed their teeth at me.
17 How long, Lord, will you look on?
Rescue me from their ravages,
my precious life from these lions.
18 I will give you thanks in the great assembly;
among the throngs I will praise you.
19 Do not let those gloat over me
who are my enemies without cause;
do not let those who hate me without reason
maliciously wink the eye.
20 They do not speak peaceably,
but devise false accusations
against those who live quietly in the land.
21 They sneer at me and say, "Aha! Aha!
With our own eyes we have seen it."
22 Lord, you have seen this; do not be silent.
Do not be far from me, Lord.
23 Awake, and rise to my defense!
Contend for me, my God and Lord.
24 Vindicate me in your righteousness, Lord my God;
do not let them gloat over me.
25 Do not let them think, "Aha, just what we wanted!"
or say, "We have swallowed him up."
26 May all who gloat over my distress
be put to shame and confusion;
may all who exalt themselves over me
be clothed with shame and disgrace.
27 May those who delight in my vindication
shout for joy and gladness;
may they always say, "The Lord be exalted,
who delights in the well-being of his servant."
28 My tongue will proclaim your righteousness,
your praises all day long.
 
Naomba kujua huyu bibi alikusaidia dawa gani yani za hospitali au za kienyeji ikapelekea wife kuacha kubleed sana

Kwakweli huyu bibi alinichukua mimi mwenyewe akanipeleka kuchimba dawa porini...akanielekeza namna ya kuitengeneza, nikarudi home nikatengeneza kwakweli two days ilikata
 
Kuomba mungu twaomba sana..lakini hapa tujiulize kwan ukiishi bika mtoto nini utapungukiwa katika maisha yako?

swali kama hili jiulize wewe mwenyewe kwanza wazazi wako wangepungukiwa nini kama wasingekuleta wewe duniani?

then ndo ujifikirie wewe!!
 
Kifalambute, niliwahi pata majibu ya mahitaji yangu ya maisha kwa kuomba Zaburi ya 51 na 35. Yaani kwa muda nikawa nalia nikianza na 51 na kupigana na 35. I can guarantee you, it worked for me, I dont know why it shouldnt work for you! Ingia kazini, focus on your need - surrenderyour will first,repent, cleanse your mind soul and spirit.Then you enter the battle:

Psalm 51

1 Have mercy on me, O God,
according to your unfailing love;
according to your great compassion
blot out my transgressions.
2 Wash away all my iniquity
and cleanse me from my sin.
3 For I know my transgressions,
and my sin is always before me.
4 Against you, you only, have I sinned
and done what is evil in your sight;
so you are right in your verdict
and justified when you judge.
5 Surely I was sinful at birth,
sinful from the time my mother conceived me.
6 Yet you desired faithfulness even in the womb;
you taught me wisdom in that secret place.
7 Cleanse me with hyssop, and I will be clean;
wash me, and I will be whiter than snow.
8 Let me hear joy and gladness;
let the bones you have crushed rejoice.
9 Hide your face from my sins
and blot out all my iniquity.
10 Create in me a pure heart, O God,
and renew a steadfast spirit within me.
11 Do not cast me from your presence
or take your Holy Spirit from me.
12 Restore to me the joy of your salvation
and grant me a willing spirit, to sustain me.
13 Then I will teach transgressors your ways,
so that sinners will turn back to you.
14 Deliver me from the guilt of bloodshed, O God,
you who are God my Savior,
and my tongue will sing of your righteousness.
15 Open my lips, Lord,
and my mouth will declare your praise.
16 You do not delight in sacrifice, or I would bring it;
you do not take pleasure in burnt offerings.
17 My sacrifice, O God, is a broken spirit;
a broken and contrite heart
you, God, will not despise.
18 May it please you to prosper Zion,
to build up the walls of Jerusalem.
19 Then you will delight in the sacrifices of the righteous,
in burnt offerings offered whole;
then bulls will be offered on your altar.

Psalm 35

Of David.

1 Contend, Lord, with those who contend with me;
fight against those who fight against me.
2 Take up shield and armor;
arise and come to my aid.
3 Brandish spear and javelin[a]
against those who pursue me.
Say to me,
“I am your salvation.”
4 May those who seek my life
be disgraced and put to shame;
may those who plot my ruin
be turned back in dismay.
5 May they be like chaff before the wind,
with the angel of the Lord driving them away;
6 may their path be dark and slippery,
with the angel of the Lord pursuing them.
7 Since they hid their net for me without cause
and without cause dug a pit for me,
8 may ruin overtake them by surprise—
may the net they hid entangle them,
may they fall into the pit, to their ruin.
9 Then my soul will rejoice in the Lord
and delight in his salvation.
10 My whole being will exclaim,
“Who is like you, Lord?
You rescue the poor from those too strong for them,
the poor and needy from those who rob them.”
11 Ruthless witnesses come forward;
they question me on things I know nothing about.
12 They repay me evil for good
and leave me like one bereaved.
13 Yet when they were ill, I put on sackcloth
and humbled myself with fasting.
When my prayers returned to me unanswered,
14 I went about mourning
as though for my friend or brother.
I bowed my head in grief
as though weeping for my mother.
15 But when I stumbled, they gathered in glee;
assailants gathered against me without my knowledge.
They slandered me without ceasing.
16 Like the ungodly they maliciously mocked;
they gnashed their teeth at me.
17 How long, Lord, will you look on?
Rescue me from their ravages,
my precious life from these lions.
18 I will give you thanks in the great assembly;
among the throngs I will praise you.
19 Do not let those gloat over me
who are my enemies without cause;
do not let those who hate me without reason
maliciously wink the eye.
20 They do not speak peaceably,
but devise false accusations
against those who live quietly in the land.
21 They sneer at me and say, “Aha! Aha!
With our own eyes we have seen it.”
22 Lord, you have seen this; do not be silent.
Do not be far from me, Lord.
23 Awake, and rise to my defense!
Contend for me, my God and Lord.
24 Vindicate me in your righteousness, Lord my God;
do not let them gloat over me.
25 Do not let them think, “Aha, just what we wanted!”
or say, “We have swallowed him up.”
26 May all who gloat over my distress
be put to shame and confusion;
may all who exalt themselves over me
be clothed with shame and disgrace.
27 May those who delight in my vindication
shout for joy and gladness;
may they always say, “The Lord be exalted,
who delights in the well-being of his servant.”
28 My tongue will proclaim your righteousness,
your praises all day long.

awesome
 
Kifulambute,
Ninaamini unataka suluhisho la tatizo lako au unataka ushauri baada ya tatizo lako kwisha.
1. Umesema mke wako alikuwa ana matatizo akiwa mja mzito na kila akipata watoto wanafariki katika mazingira uliyoyaeleza.
2. Umesema mke wako alikuwa na shida ya ku-beed mfululizo - na umetafuta dawa sehemu tofauti, ila kuna dawa kakupeni bibi inaonekana imefanya kazi, na sasa mke wako hana tena tatizo la ku-bleed isipokuwa nyie wote hamna hakika kama matatizo ya kuweka mimba ikawa salama hadi kuzaa salama yamekwisha.

USHAURI WANGU:
Sijui kama wewe peke yako ndiye unayetafuta ushauri au msimamo unaotaka kuchukua mkeo ataridhia nao. Ni vizuri kama ningeweza kujua msimamo wa mke wako pia.Maana kimsingi mke wako anahitaji msaada mkubwa kuliko wewe maana yeye ndie mbeba mimba, mtunza mimba na mzaaji pia.

(a). Kuzaa au kuto kuzaa sioni kama ni swala la msingi kwa sasa, kama ilivyo muhimu kwamba tatizo hili utatatua vipi. Ninasimama kwenye hili sababu hili tatizo lingekuwa ni tatizo la kutokupata pesa - ungefanya nini???????? hivyo unahitaji kukomaa roho na mwili urudi tena mezani kuchora upya mkakati wa utatuzi!

(b) Matatizo mengi yanaelezeka na mengine huwa hayaelezeki (yaani ni kwamba kuna matatizo ambayo unaweza kuyaeleza kisayansi na ukatibiwa hospitali) na mengine sayansi ya utabibu haitoi majibu pia. Hivyo ni wakati pia wa kufikiria nje ya box.

(c) Umeonekana kama umefanya jitihada ya kutafuta solution ya tatizo hili - umekwenda hata kwa bibi. Maoni yangu ni kwamba unahitaji solution moja tu ambayo ni ya uhakika ili kupunguza mahangaiko na maumivu ya roho na mwili yatokanayo na disappointment ya aina yeyote katika safari yako hii ya kutafuta tiba.

SASA BASI:
1. Uzoefu wangu ni kwamba tatizo lako linaweza kuwa ni la magonjwa ya wanawake (gynecological).Ninaamini mkeo alishawaona madaktari bingwa na wakakusaidieni na ningependa kufikiri kwamba jitihada zao zimefikia hapo.

2. Niliona umejibu kuwa wewe ni mkristo na "umejaribu" kuomba sana.
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa matatizo yako yanahitaji maombi ya kuvunja madhabahu yeyote inayosema juu ya maisha yenu, inayodai damu. Ni rahisi kuliko unavyodhani. Tatizo isije ikawa wewe ni mmoja wa wale wanaopenda kuombewa na wachungaji wenye "upako". Amua ndani ya moyo wako kuwa umesimama kama mtoto wa Mungu, shujaa mpiganaji, kuhani wa bwana, wewe ni jasiri kwa kuwa Yesu aliyekuwa jasiri alikuwafa na akafufuka kwa ajili yako. Anza kuomba zaburi 51 na endelea na zaburi 35 zote na tafuta ahadi za Mungu juu ya maisha yako. Utatoboa tuuu (Satan can be taken out of your body muda wowote, shetani kumtoa ni rahisi sana, kitu kilicho kigumu kukibadilisha ni dhamiri yako(your will) .

3. Suala la kutokuzaa tena ni uamuzi mzuri sana, kama una hakika kwamba baada ya miaka 15 ijayo utasimamia uamuzi huu wa leo na hutajuta wala kulalamika kwamba ulijitahidi sana lakini hukujaaliwa (nina maana kwamba you will never come up with a victim psychology to explain that probably life has been unfair to you)
*Watu wengi wame adopt watoto
*Watu wengi wame nunua watoto
Yoote haya ni sawa. lakini kuna jambo ambalo ni gumu kulielezea - moyo wako utauma tuuu!

Ninayasema haya out of experience!

Ahsante kwa ushauri mzuri
 
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?

yes mtoto ni muhimu sana think of ur old days! Ukiwa huna watoto utakosa pia msaada wa kukusaidia ukiwa mzee. Kukufariji na kukupa furaha kwa mda huu unaweza usione umuhimu kwa sbb unanguvu ila utaregreat siku moja! Umewahi pishana na mzee anachota maji au anauza nyanyachungu barabarani? Swali lako la kwanza huwa nini? Mimi huwa najiuliza "hana watoto?" mbona hawamsaidii? Muhim think twice
 
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?
Mungu hajaribiwi,

umevunja amri inayosema '' USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO ''
 
Siku hizi bwn watu watakutia moyo tu lakini hawakupi jibu
Wenye jibu la swali lako ni wewe na mkeo mkikaa mkajadili kwa pamoja.
Kuna family(mke ni mdogo wangu) walifiwa na watoto wawili wakiwa wachanga kabisa,then yule mama akapata mimba mara 3 zinatoka na ya nne mtoto akafia tumboni. Wamekubaliana kuachana na habari ya kuzaa tena na wanaishi kwa amani tu.
 
Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?

Pole mkuu ila kua na mtoto sio lazma

Kubaliana na hali halisi uliyonayo

Ipotezee tu na umshukuru Mungu kwa hali hiyo,,maana angeweza kukupa mtoto akawa wa bangi,,jambazi,,ama changudoa,,mtovu wa nidhamu ampaka ukaona ni heri nisingempata

Shukuru kwa hali uliyonayo,,mtoto sio lazma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom