Hivi kuna haja ya kuzaa?

Duh, pole sana, mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, so akitaka anakupa asipotaka pia hakupi, cha msingi ni kuwa mvumilivu na kuendelea kumuomba Mungu

Mimi ni kijana 33 yrs now..katika kuishi kwangu nilibahatika kuoa na sijawahi pata mtoto...miaka minne ya ndoa yetu kuna kipindi.wife alipata ujauzito na ilipofikia siku ya kujifungua mtoto akafariki akiwa tumboni..tukakaa kama miezi saba akapata ujauzito.mwingine ambao ulisumbua sana, miezi minne tu ya ile mimba akaambiwa alazwe bed rest hadi atakapojifungua...tukakubaliana na hali akalazwa hosp for 4 month na ilipofikia miezi nane siku moja ikaonekana mtoto kama anataka kutoka wakamwahisha thearter bahati mbaya ile anafika tu chumba hicho mtoto akafariki...nilipata na simanzi sana nikamshauri wife tukae mwaka na nusu bila kushika ujauzito na sasa tuna mwaka na miezi saba..sasa wife amepatwa na issue ingine tena ya kubleed mfululizo for three month now, tumejaribu kila aina za dawa za hosp, kanisani na mwishowe kuna bibi fulani alitipa dawa ikapungua na sasa namshukuru mungu imekata. Sasa nawaza hivi kuna haja ya kutafuta mtoto kweli ama nipotezee tu niandike walizo kufa wanatosha?
 
Point....
Kifulambute, fanyia kazi ushauri huu, au ingia jf doctor nadhani kuna thread inayoongelea hii kitu, all in all endelea kumuomba Mungu

Nakushauri mkacheki blood groups kuna kitu kinaitwa rhesus factor huwa ina leta shida kwenye upande wa kupata watoto nenda hosp ukaeleweshwe vzr
 
Hapana huo sio mpango wa Mungu mkuu shetani tu huyo.
Mungu anatupenda.
hivi ushajiuliza mungu huyo huyo aruhusu mimba itungwe amwache mtt akue mpaka afike miezi kadhaa then aamuue? c angemuu b4 au asingeruhusu kabisa ht mimba itungwe?
wajua dada christine ibrahim, tunatofautiana kwenye mafundisho, kwa maana moja sio kila kibaya kinachotekea ni shetani huyu ambae muda mwingine anakuwa katika roho ya binaadamu, nimefundishwa kila kitu kinatokea kwa mipango ya mungu aidha shetani wa aina yeyote awe ameingia lakini mungu ndiye amepanga... kwa hiyo kinachomtokea ndugu yetu Kifulambute yaweza kuwa ni kazi ya shetani, ila yote mungu ameamua iwe hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Unalaana wewe, na kwa kauli yako hii uliyoitoa hapa lazima Mungu akupe pigo, labda utubu.
Hivi huwa ni lazima kuchangia kila tread, na nilazima uandike maneno ya kashfa namna hii, inakusaidia nini kumtukana mwenzio amabae hata humfahamu, kama huna ushauri why usikae kimya?


huyo mke wako alishatoa mimba waqt wa ujana wake. tafuta nyumba ndogo zaa achana na hilo kopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom