LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 20,003
- 37,908
Mimi ndo huyo napita zangu mitaa Fulani ya kisutu kuna mdada mmoja human ana duka lake anauza viatu vizuri natala kwenda kuchukua kiatu nakuta amefunga napiga namba zake anasema " Leo siji ofisini kwa sababu za kiusalama nahofia zinaweza kutokea ghasia" I was like " What's up? " Akanijibu " Leo ndio inatolewa hukumu ya Lissu.
Aise sikuwa najua kabisa kama Leo ndio hukumu ya Lissu. Kwa sababu mitaa yote niliyo pita jijini Darusalama sijaona kiti chochote kinacho nipa impression kwamba Leo inatoka hukumu ya Lissu.. Everyone mind his own business. Sana Sana vijiweni watu wanabishana kuhusu ishu ya Yanga kumchukua Fadlu na Mambo ya kina Linasse Guess etc.
Anyways Yule dada muuza viatu ana hoja. She is a scientifically minded person. Kwa kutumia common sense ameweza kutabiri kitu ambacho kipo likely kutokea Leo endapo Mambo yatakwenda ndivyo sivyo.
If Lissu will be given a life or 30 years of hard labour ni wazi kuwa wafuasi wake wanaweza kuleta rabsha zinazo weza kusababisha usumbufu kwa wajasiriamali na wafanya biashara around Kisutu hapo.
I wish Lissu ange kuwa na uwezo wa " Kutabiri" Kama wa huyu dada. Kwa kiwango chake cha elimu na uzoefu wake katika siasa za Tanzania alipaswa kuwa na uwezo wa " Kutabiri" Kwamba kauli yake " TUTAKINUNISHA" SIO TU KWAMBA HATUTOSHIRIKI UCHAGUZI BALI TUTAZUIA UCHAGUZI" . Inge weza kumuweka matatani na dola ambayo ingeweza kumshikilia na kumfungulia mashtaka ya uchochezi au uhaini kama walivyo fanya..
" Utabiri" sio suala la kiroho. Ni suala la kisayansi. Mwaka 96 kwenye pambano la Mike Tyson vs Evander Holy field, kuna wakamalia walipiga mamilioni ya pesa kwa sababu wataalamu wa boxing waliwathibitishia kisayansi kwamba Mike Tyson hawezi kumpiga Evander Holy field in any manner whatsoever.
Mama Dulah ni mwanamke mwenye miaka 42. Ana watoto watano.. Dulah miaka 24, Chid miaka 22, Hamidu miaka. 20. Na mapacha wawili Hawa na Hamida ( miaka 18) . Suppose umemuoa Mama Dula as a single mother mwenye watoto watano.. Halafu ikatokea umemfumania.. Hekima na busara ni hupaswi kumpiga kwa sababu ukimpiga, Dula, Chidi, Hemedi ( hizo zote 45 na 32 ) watakuja kukupiga vibaya Sana kwa sababu hakuna mtoto wa kiume ana weza kubali mama yake apigwe na mtu mwingine. Sijawasahau Hawa na Hamida wata waambia mabwana zao kwamba umempiga mama Yao na wao watakuja kukuletea unyonge ile kinoma Noma. Sasa siku tukikutana na wewe una sikio moja haupaswi kuwalaumu akina Dula unapaswa kujilaumu mwenyewe. Ulipaswa kuwa na uwezo wa kutabiri hicho ambacho kina Dula wamekufanyia..
Kwa kesi ya Lissu Leo. Ya Socrates yanaweza kujirudia