hukumu ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Uingereza yahoji hukumu ya Lissu

    Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Kwako Wakili Msimi🤣 ==== Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki...
  2. C

    JamiiForums Uingereza yaeleza wasiwasi wake kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yaitaka Tanzania kuzingatia haki

    Waziri wa Afrika na Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Kirsty McNeill, amesema nchi hiyo ina wasiwasi mkubwa kufuatia kutiwa hatiani kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi. Katika taarifa yake, McNeill amekumbusha maoni ya Kikundi Kazi cha Umoja wa...
  3. Keynez

    JamiiForums Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Kesi ya Lissu ina nyaraka mbili za Hukumu! Ipi Sahihi na ipi ni Batili?

    Baada ya hukumu kusomwa mahakamani, lazima pawepo na nyaraka rasmi inayoonyesha kilichofanyika na kilichoamuliwa kwa ajili ya kumbukumbu. Nyaraka hiyo ndiyo msingi unaotumiwa iwapo pande husika zitataka kurejelea shauri au kuanzisha mchakato wa rufaa. Nyaraka hizi zikoje? Hukumu ya Kwanza...
  5. A

    JamiiForums Hukumu ya Lissu mpaka tukaitafute kwa Mitandaoni. Vyombo vya Habari hamuoni aibu?

    Kuna ka clip ka tarehe 6 waandishi kama mia hivi wamemzingira RPC Muliro nje ya Mahakama, wamemrushia vi soft ball ( viji swali mlenda mlenda) viwili kuhusu whether hali mjini ni shwari au sio shwari. Sasa katika wale woote wale hakuna hata kichwa kimoja kilichoingia ndani ya mahakama chenye...
  6. C

    JamiiForums Godbless Charles: Kwa nini DPP hakumshitaki Tundu Lissu kwa uchochezi tangu mwanzo? maswali mazito baada ya hukumu ya uhaini

    Je, kulikuwa na sababu za kisheria za kumfungulia Lissu shtaka la uhaini badala ya uchochezi, au Ofisi ya Mashtaka ilijenga shauri lake kwenye kosa ambalo hatimaye imeshindwa kulithibitisha. Utangulizi Hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania katika shauri lililokuwa likimkabili Mwenyekiti wa...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums SI KWELI Je, ni kweli kuwa Tundu Lissu alilia baada ya hukumu kutolewa mahakamani

  8. Roving Journalist

    JamiiForums ACT: Hukumu ya Lissu ni mtihani wa Demokrasia ya Tanzania, ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
  9. C

    JamiiForums Askofu Emmaus Mwamakula: Hukumu ya Lissu ni batili, watawala wamejivua nguo hadharani

    Ndugu Watanzania! Nilitarajia kutoa kauli baadaye au kesho baada ya kufanya tafakuri ya kina kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka 4 jela iliyotolewa kwa Lissu na Mahakama Kuu ya Tanzania. Lakini baada ya kutafutwa na watu wengi walioumizwa na hukumu hiyo, nimeona niandike machache kwa ajili ya...
  10. C

    JamiiForums Dkt.Ayoub Rioba: Ninamtakia ndugu yangu Tundu Lissu, kila la kheri katika maisha yake gerezani

    Pamoja na tofauti zangu na Mwana-Ilboru mwenzangu za kimitazamo; pamoja na ukweli kwamba mimi ni mmoja wa Watanzania walioandika hadharani kwamba 'aondolewe kwenye kesi kwa utaratibu wa kisheria' ili tujenge maridhiano, nimefarijika sana kwamba Tundu Lisu hakupewa hukumu ya kunyongwa...
  11. C

    JamiiForums IDU imelaani hukumu dhidi ya Tundu Lissu, na kusisitiza achiriwe huru mara moja

    Umoja wa Kimataifa wa vyama vya Demokrasia (International Democracy Union – IDU) umelaani vikali hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa umoja huo, Tundu Lissu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kikuu cha upinzani nchini...
  12. C

    JamiiForums Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  13. Manyanza

    JamiiForums Kesi ya TunduLissu imenifundisha: Haki, Msimamo, Ujasiri na thamani ya uhuru!

    Wakuu. Habari za wakati huu, wale wapenda haki na usawa najua tumeumia sana na kilichoamuliwa leo na Mahakama kuu kuhusu mwenendo wa kesi iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Kila jambo linalotokea kwenye maisha yetu au katika hii dunia hutokea na...
  14. C

    JamiiForums Bobi wine: Gereza linaweza kuzuia uhuru wa mwili, lakini haliwezi kufunga dhamira ya watu kudai uhuru na haki

    Utawala wa Tanzania ulijaribu kumtisha kwa uwezekano wa hukumu ya kifo kwa sababu ya msimamo wake wa kudai mageuzi ya uchaguzi yatakayo hakikisha uchaguzi huru, wa haki na uwazi. Hata hivyo, upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha madai yake ya uhaini. Pamoja na uamuzi huo, Mahakama imemkuta...
  15. M

    JamiiForums Anna Tibaijuka: Hukumu ya Lissu ya Novemba 6, 2026 inatukumbusha hukumu ya Nyerere ya 27 Mei 1958

    6.11.2026: Hukumu ya TUNDU LISSU NA KUMBUKUMBU YA KESI YA MWALIMU NYERERE YA MWAKA 1958. HISTORIA INATUFUNDISHA NINI? Leo, tarehe 6 Novemba 2026, Tundu Lissu ameshinda kesi ya uhaini lakini mahakama ikasema amepatikana na hatia ya uchochezi (incitement) na kuhukumiwa kifungo cha miaka 4...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Dkt. Nshala: Tundu Lissu bado ni mwenyekiti halali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Amnesty: Hukumu ya Lissu imejaa dosari na ukiukaji wa haki. Mamlaka za Tanzania zatakiwa kumuachia huru

    Tarehe 6 Novemba 2026 Akizungumzia hukumu iliyotolewa Ijumaa dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, na adhabu ya kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kuachiwa huru katika shtaka la uhaini, Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini wa Amnesty...
  18. E

    JamiiForums Amri jeshi mkuu alisema waliofanya fujo ni vijana wa nchi jirani, swali Lissu aliwezaje kuwachochea?

    Niko natafakari hukumu ya leo na uhusiano wa fujo za 29/oct zilizofanywa na vijana wa nchi jirani Lissu aliwachocheaje!?
  19. L

    JamiiForums TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  20. C

    JamiiForums Familia ya Lissu: Hukumu imetuuma sasa tunajiandaa kwa maziko

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, kumhukumu kifungo cha miaka minne jela, Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Tundu Lissu, familia yake inayoendelea na maombolezo ya kifo cha kaka yao, Wakili Alute Mugwai, imeeleza kuumizwa na hukumu hiyo. Imesema haiwezi kuingilia uamuzi wa...
Back
Top Bottom