Hivi kucheza muziki ni kutikisa kiuno tu.!

Hivi kucheza muziki ni kutikisa kiuno tu.!

nimekumbuka ngoma ya kwetu LIZOMBE, kiuno lazima kizungushwe nikisikia ile midundo na huu wimbo 'binti kimamulo aiyeee ubaya wako aiyeee kuiba kuku aiyeeee didididi tikitikitiki kidikidi ah nyonga hapo inacheza mithili ya feni au ZUHURAAAAAA nipe mwana wangu...............
 
hah hah hah hah kama nakuon
 
kila mziki ukipigwa nimekuwa nikiona watu wanatikisa kiuno tu haijalishi ni Rock ,country,salsa kwaya jamani we cant dance in otherway
That is the area of concentration, anybody likes this place, unashangaa nini pakichezeshwa kwa kila aina ya muziki? kwani ule muziki mwingine unaoujua wewe na mwenzio mnachezeshaga wapi?
 
Wanajf nimekuwa nikiona watu wengi wanaosakata rumba na miziki mbali mbali wanatikisa kiuno tu, hii ndo aina pekee na maalum ya kucheza muziki tu au ni kutofahamu aina za kucheza mziki , hapa tz wapi kuna course ya music dance !

Hip hop wanaume hawanyongi viuno
 
Back
Top Bottom