Nielewesheni mtu ukiachwa unakuwa unajisikiaje ili nijihami niwai kuacha badala ya kuachwa
We kaongo tu! Kama hujawahi kuachwa ujue hujawahi kupendwa na vile vile hujui kupenda!sijawahi kuachwa,, mara zote hua nawaacha!!
Usiniache Tafadhali...unajifeel vizuri tu subiri uachwe
Usiniache Tafadhali...
mi pia natamani siku niachwe ili nijue maumivu hata kidogo maana sijui inakuwaje ukiachwa
hivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?hahaaaaaaaa wewe nawe ..................sikuachi bana
:eyebrows:
Bishanga banaa kwani wewe hausikii serikali kabla ya kujenga barabara huwa wanafanya Feasibility Study kwanzahivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?
hivi huyu mchumba wenu TF anachumbia wangapi,naona kama anawazunguka hivi...du! au macho yangu?