Hivi ku-unlock modem yangu ni kinyume cha sheria?

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Naomba wanaofahamu wanisaidie. Je ku-unlock modem niliyoinunua kwa fedha taslimu (sizungumzii zile modem za contract kama zipo) je ni kinyume cha sheria?
 
Hebu fanya kupitia vile vikaratasi vilivyopo ndani ya packaging,uone kama kuna eula, warning fulani hivi, restrictions.....
 
Bahati mbaya sinavyo hivyo vikaratasi maana modem yangu nimenunua miaka mingi na vikaratasi hivyo sikuzitunza! Kwa maelezo yako tu naona kutakuwa na restrictions! Huenda umeshasoma! Na kwanini wazuie hilo. Kwani ni ya kwao! Mi naona hapo kuna mtego mbaya!
 
Hauvunji sheria, ila unaweza ukavoid warranty kama ipo. Wanalock modems kwasababu bei ya hizo modems ziko subsidized yaani wanaziuza kwa hasara wakitegemea watarudisha kwa kukuuzia service.
 
Hauvunji sheria, ila unaweza ukavoid warranty kama ipo. Wanalock modems kwasababu bei ya hizo modems ziko subsidized yaani wanaziuza kwa hasara wakitegemea watarudisha kwa kukuuzia service.

Na hizo karatasi alizosema Guita unazisemeaje Mkuu maana mimi sijazisoma!
 
Mbona rahisi?
Waombe waliokuuzia hiyo modem wakupe funguo au wakufungulie!
Usitumie funguo za kuchonga mtaani au kuvunja mlango ni wizi au ujambazi
 
Kwani ulivonunua hawakukuambia kama ukitumia carrier tofauti na eao ni kinyume cha sheria? Kama hawakukwambia u better ask 'em.
 
Back
Top Bottom