Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

ukitaka kujua madhara ya kitomoto angalia post na comment za walaji
 
Aisee utamu wa hiki kitoweo sitofautishi na utamu wa kale kamchezo ka watu wazima

Mkuu wewe sasa unapotosha,kale ka mchezo ni kigoma mwisho wa reli ingawa kitimoto ni tamu sana na baada ya kuona picha hapo mkuu mmoja ameweka nimamua kuagiza kanusu kilo hapa nijipongeze one time ila kale kamchezo ogopa.
 
ukitaka kujua madhara ya kitomoto angalia post na comment za walaji

Post zao zinaonesha wana IQ kubwa kuliko wasiokula kitimoto
 
Attachments

  • 1422281364285.jpg
    1422281364285.jpg
    59.8 KB · Views: 510
  • 1422281407617.jpg
    1422281407617.jpg
    8.7 KB · Views: 1,004
Ni ujinga tu hakuna lolote special kwenye nyama hii!Na hii tabia ipo sana tu kwa Watanzania !watu wamejaa ujinga pamoja na digrii zao!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mmh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini
 
hujapata mtaalam wa kuiandaa njoo sinza huku hapa kamanjola hakika uta enjoy
mmh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini
 
Kiti moto ni dhambi na ni haramu! na wote wanaokaa kwenye bustan wakila nyamba ya ngurue watachomwa siku ile asema bwana
 
HAPA NINA COMMENT NINAYO kwenye gari narudi nayo home mama watoto ameandaa ugali na mboga za majani kwa ajiri ya kumsukumia huyu mdudu usiku wa leo.
 
Bata, sungura, nguruwe, ngamia ni kundi moja wanyama najisi

Hakuna u-spesho wowote
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?
Uspecial upo kwenye inapopingwa....
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

Nasikia jina lako ni tusi ndio maana hata nikiku-quote au kukumention halitokei!!
 
Kiti moto ni dhambi na ni haramu! na wote wanaokaa kwenye bustan wakila nyamba ya ngurue watachomwa siku ile asema bwana
Mmeambiwa mle mkizidiwa sijui na makitu gani... Sijui njaa..!!
 
mmh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini
Mi mwekyewe bata simli ... Na vipo vingi tu wewe huli.. Wenzio wanabezi kwenye dini na si harufu...
 
Back
Top Bottom