gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Imenona hiyo, hapa ukipata na ugali, utadhani maindi kalima yeye bwana nguruwe.
Hahahahahhaa mamamae we jamaa umenifurahisha sana aisee
Kaugali kanashuka kama hakuna shida duniani aisee
Imenona hiyo, hapa ukipata na ugali, utadhani maindi kalima yeye bwana nguruwe.
acha kabisa mdudu pua
Ni ujinga tu hakuna lolote special kwenye nyama hii!Na hii tabia ipo sana tu kwa Watanzania !watu wamejaa ujinga pamoja na digrii zao!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kiti moto ni dhambi na ni haramu! na wote wanaokaa kwenye bustan wakila nyamba ya ngurue watachomwa siku ile asema bwana
Una mapepommh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini
Yaani roho umeniuma! Mmenitamanisha kweli, nikirudi TZ mimi nitakula kiti moto mpaka nichanganyikiwe. Aiseee hii kitu ni tamu ile mbaya
Hiyo nyama,a.k.a toto noah ni balaa sijawahi ona nyama tama kama nguruwe na ndiyo nyama yenye a.k.a nyingi,kitimoto,mdudu.mbao,noah,mkuu wa meza,mbuzi katoliki na............,ni hatari
ukitaka kujua uspecial wake njoo arusha kwa shabani mwabie akuonjeshe walau kinyango kimoja af utapata jibu, af chakushangaza wauzaji. sehemu nyingi ni wenzetu wa dini ya pili, kama shabani. arusha, rashidi dodoma, na ukienda tabora pale game kuna jamaa anaitwa omari we muulizie,
kudindisha ndo kufanya nini best?
.......Dada suala la harufu si kigezo kikubwa sana, watu wanavumilia harufu ngapi?
....Mkuu, umekuwa Mkweli zaidi maana katika post yangu kidogo nilijaribu kuficha ficha. Ebu aje kujibu huyo aliesema Nyama ya Kitimoto ina harufu mbaya.Atuambie kama hajawah kunyonywa papuchi yake na je papuchi ina harufu gani hata ikipigwa manukato?
Mdudu aka kitimoto for life
we mrembo unataka kuniambia hujui maana yake kweli ?
Sijui kweli kabisa niambie basiii