Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?
.
Nasikia hata visiwani huwa hiyo kitu huwa inapelekwa nani anakula...?! Nasisitiza "nimesikia kwa watu" sasa mazingira hayo yananipa utata nani anakula makontena yanayokwenda huko!
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

ukitaka kujua uspecial wake njoo arusha kwa shabani mwabie akuonjeshe walau kinyango kimoja af utapata jibu
 
Hiyo nyama,a.k.a toto noah ni balaa sijawahi ona nyama tama kama nguruwe na ndiyo nyama yenye a.k.a nyingi,kitimoto,mdudu.mbao,noah,mkuu wa meza,mbuzi katoliki na............,ni hatari
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

ukitaka kujua uspecial wake njoo arusha kwa shabani mwabie akuonjeshe walau kinyango kimoja af utapata jibu, af chakushangaza wauzaji. sehemu nyingi ni wenzetu wa dini ya pili, kama shabani. arusha, rashidi dodoma, na ukienda tabora pale game kuna jamaa anaitwa omari we muulizie,
 
Mkuu wewe sasa unapotosha,kale ka mchezo ni kigoma mwisho wa reli ingawa kitimoto ni tamu sana na baada ya kuona picha hapo mkuu mmoja ameweka nimamua kuagiza kanusu kilo hapa nijipongeze one time ila kale kamchezo ogopa.

Kitimoto ni zaidi ya kale kamchezo ni balaa,kitimoto ni noooma,mi mtu akiniambia nichague kitimoto au kale kamchezo a.k.a chakula cha usiku mi ntachagua kitimoto
 
Kiti moto ni dhambi na ni haramu! na wote wanaokaa kwenye bustan wakila nyamba ya ngurue watachomwa siku ile asema bwana

Wewe acha kupotosha watu nenda kasome marko 7 mstari wa 10 hadi 20husikariri vimistari vyako kama wasabato,kiti moto ni nyama halali kama nyama nyingine watu wanakula nyoka sembuse nguruwe
 
huyo atakuwa bwana wako na si MUNGU

Mungu wangu anasema hivi ktk Mambo ya Walawi 11;

7 And the swine, though he divide the hoof, and be cloven-footed, yet he cheweth not the cud; he is unclean to you.

8 Of their flesh shall ye not eat, and their carcass shall ye not touch; they are unclean to you.
 
Wewe acha kupotosha watu nenda kasome marko 7 mstari wa 10 hadi 20husikariri vimistari vyako kama wasabato,kiti moto ni nyama halali kama nyama nyingine watu wanakula nyoka sembuse nguruwe

Usitumia nguvu sn kupingana na ukweli tatizo wanadamu mnayapotoa maandiko na kuyatwist ktk upotevu wenu....Mungu sio kigeugeu na Kristo ni yule yule jana na leo na hata milele.

The Book of Mark

Chapter 7

1 Then came together unto him the Pharisees, and certain of the scribes, which came from Jerusalem.

2 And when they saw some of his disciples eat bread with defiled, that is to say, with unwashen, hands, they found fault.

3 For the Pharisees, and all the Jews, except they wash their hands oft, eat not, holding the tradition of the elders.

4 And when they come from the market, except they wash, they eat not. And many other things there be, which they have received to hold, as the washing of cups, and pots, brasen vessels, and of tables.

5 Then the Pharisees and scribes asked him, Why walk not thy disciples according to the tradition of the elders, but eat bread with unwashen hands?

6 He answered and said unto them, Well hath Esaias prophesied of you hypocrites, as it is written, This people honoureth me with their lips, but their heart is far from me.
Isa 29:13 Matt 15:8

7 Howbeit in vain do they worship me, teaching for doctrines the commandments of men.
Isa 29:13 Matt 15:9

8 For laying aside the commandment of God, ye hold the tradition of men, as the washing of pots and cups: and many other such like things ye do.

9 And he said unto them, Full well ye reject the commandment of God, that ye may keep your own tradition.

10 For Moses said, Honour thy father and thy mother; and, Whoso curseth father or mother, let him die the death:
Ex 20:12, 21:17

11 But ye say, If a man shall say to his father or mother, It is Corban, that is to say, a gift, by whatsoever thou mightest be profited by me; he shall be free.

12 And ye suffer him no more to do ought for his father or his mother;

13 Making the word of God of none effect through your tradition, which ye have delivered: and many such like things do ye.

14 And when he had called all the people unto him, he said unto them, Hearken unto me every one of you, and understand:

15 There is nothing from without a man, that entering into him can defile him: but the things which come out of him, those are they that defile the man.

16 If any man have ears to hear, let him hear.

17 And when he was entered into the house from the people, his disciples asked him concerning the parable.

18 And he saith unto them, Are ye so without understanding also? Do ye not perceive, that whatsoever thing from without entereth into the man, it cannot defile him;

19 Because it entereth not into his heart, but into the belly, and goeth out into the draught, purging all meats?

20 And he said, That which cometh out of the man, that defileth the man.

21 For from within, out of the heart of men, proceed evil thoughts, adulteries, fornications, murders,

22 Thefts, covetousness, wickedness, deceit, lasciviousness, an evil eye, blasphemy, pride, foolishness:

23 All these evil things come from within, and defile the man.

24 And from thence he arose, and went into the borders of Tyre and Sidon, and entered into an house, and would have no man know it: but he could not be hid.

Ilikua ni kawaida ya Wayahudi kula chakula kwa kunawa mikono hadi kwenye viwiko juu.....lkn walipowaona wanafunzi wa Yesu wakila chakula kwa mikono ambayo hawajanawa walimwendea Yesu na kumuuliza mbona wanafunzi wako wanakula chakula kwa mikono iliyo najisi......hapa kwanza kuna vitu vya kuzingatia, Hawa wanafuzi wa Yesu walikua wanakula chakula kwa mikono NAJISI sio km walikua wanakula VYAKULA VILIYO NAJISI. kwahio hapa tu tunapata pont kwamba hawa wanafunzi walikua wanakula vyakula halali na si najisi bali walikua wanakula kwa mikono iliyo najisi yani hawakunawa km taratibu ilivokua zinawataka kufaya.

Baada ya hapo yakaja majibu ya Yesu kwanza akaanza kwa kuwashambulia kwa kuacha sheria ya Mungu na kushika mafundisho ya wanadamu.....na baada ya hapo anakuja sasa kutoa fundisho la matendo ambayo yanaweza kumtia unajisi mtu maana wayahudi walikua wakiangalia usafi wa nje ya mwili km ndio haki kumbe moyo ndio kitu muhimu na si haki ya nje ya mwili tu mtu anapaswa kua msafi kuanzia mwili na moyo pia ndio maana hapo ktk matendo ambayo yamtokayo mtu na kuweza kumtia unajisi yametajwa mambo mengine kabisa na si vyakula.

Wengi wamekua wakitumia haya maandiko kuhararisha vilivo halamu lkn hakuna ata sehemu moja ile Yesu ameruhusu kula vilivo Haramu.
 
Maandiko gani unayoyazungumzia?tatizo ninyi hamsomi bible na kuielewa bali mnakariri na kukaririshwa vimistari vichache,soma bible ndugu yanngu Mungu alikuwa na maana yake kumuumba nguruwe hakumuumba tu kama urembo soma bible wewe usijepotoka
 
Mimi nko zenji watu tunatumia kwa sana hii kitu ni tamu sana kibaragashia nimeweka pembeni
 
Maandiko gani unayoyazungumzia?tatizo ninyi hamsomi bible na kuielewa bali mnakariri na kukaririshwa vimistari vichache,soma bible ndugu yanngu Mungu alikuwa na maana yake kumuumba nguruwe hakumuumba tu kama urembo soma bible wewe usijepotoka

We vp hujaona maandiko nimekupa ya Mark 7?
 
ALLAH AWARUHU WAISLAMU KULA KITI MOTO NA KUNYWA POMBE!!!!

Kama kawaida yetu. Leo tutajadili ulaji waNguruwe na unywaji wa Pombe katika Uislam.
Ndugu zanguni, huwa nashindwa kuelewa ninihasa ni tatizo la Allah??!! Hivi huyu Allah huwa ni Mungu au ni nani hasa?MBONA ANA KIGEUGEU Hivi?

ALLAH AMRUHUSU MUHAMMAD KUNYWA VINYWAJI VIKALI"POMBE"
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume waAllah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je,unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwendakuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe;Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa"

Kama ushaidi unavyo sema hapo juu, Allahkaruhusu kunywa pombe. Baada ya hali kumwia ngumu, Allah kaamua kulegeza sheriazake na kuruhusu KITI MOTO kwa wafuasi wake.

ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWAWAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALAL
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyefikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kulaNguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

JAMANI ALLAH SASA KESHA TOA RUHUSA KWAWAFUASI WAKE, KULA KITI MOTO NA KUMEZEA/TEREMSHIA KWA ULABU WA POMBE KALI. NDIOMAANA KITI MOTO HUWA KINADODA WAKATI WA MFUNGO, KUMBE WALAJI WAKUBWA WA HUYUMNYAMA ALIYE UMBWA NA ALLAH NI WAFUASI WAKE MWENYEWEE.........

QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu- mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Munguhawatafanikiwa.

ALLAH KASEMA UKISEMA HIKI SI HALAL(HARAM)Kumbe huko ni kumzulia Mwenyezi Mungu UONGO.

HABARI NJEMA KWA WAISLAM:
Sasa ulaji wa Nguruwe na unywaji Pombe ni Halal.
 
Hana haraka na wewe huyo Allah iko siku utarudi kwake wewe mfanyie mzaha walikuwapo makafiri kuliko wewe ngoja tu kijana kama unasema yesu kafa kwa madhambi yenu wewe endelea utakuja yaona
 
Back
Top Bottom