shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,071
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze!