Hivi ki halali uyu ni mke au bado mchumba?

Una cheti cha ndoa?, Kama ndio basi uyo ni mkeo kama hapana basi huyo sio mkeo. Ndoa ni ndoa endapo tu itasajiliwa kwa msajili wa ndoa na kikatolewa cheti cha usajili.

Ndoa ni cheti, hayo mengine ni ziada zisizo msingi sana.
 
Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri wenu.

Mimi Kuna mwanamke mmoja ambaye tulipendana naye toka 2018
Tulihanza mausiano yetu
Mpaka tukatambulishana kwa wazazi waka tujuwa
Baada ya apo tulipanga kuowana mimi na yeye Kwasababu mimi
Tuka
Mungu ni Mungu tu.

Kaumba wanawake wa kila sampuli sasa inapotokea anakusumbua huyu wewe huwezi kujiongeza.

Acha upumbafu mimi nasema acha upumbafu huyo hesabia kuwa ni wa field songa mbele Tanzania nyama ya tembo ina wanawake sampuli zote micharuko na wapole, wenye hekima na madanga hivyo nasema songa mbele papaa acha lawama midume hatulalamiki kamata pisi mpya.
 
Una cheti cha ndoa?, Kama ndio basi uyo ni mkeo kama hapana basi huyo sio mkeo. Ndoa ni ndoa endapo tu itasajiliwa kwa msajili wa ndoa na kikatolewa cheti cha usajili.

Ndoa ni cheti, hayo mengine ni ziada zisizo msingi sana.
Ninacho cheti cha ndoa ambacho tulisajili ambassade ya DRC

Yeye ana sema ni fake
Na awawezi mfanya lolote
Sasa sijui Kama ana jivunia Kwasababu yupo katika inch yake
Mimi nataka kuongeya na ambassade ni muhulize Kama wanafungisha ndoa fake pale ofisini kwao
Maana uyu mtoto wa kike ana jiona saana
 
Hakuna diaspora ambae alishakuwa na ndoa ikadumu/ kuwa wenye furaha.so wewe sio wa kwanza.mara nyingi wakaka ndo wanazingua.sasa kwako mdada ndo kaleta shida ila hatuwezi kuamini maneno yako naana hatujui hili jambo kiundani.

Mke ni wa kukaa nae ndani.kama mlioana ukamuacha huku huyo sio mke tena.

Ushauri, omba talaka mahakamani uwe huru kuoa mke mwingine.
 
Kwa nini hukumpakia vumbi la congo,huyo nenda mahakamani kavunje ndoa
 
Back
Top Bottom