BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,219
Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa,
Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake.
Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa kingono kutoka kwa mwalimu wake huyo wa madrasa anae gundisha kitabu kitukufu, kwa hao watoto kuwa amekua akimuingilia ukeni na nyuma atakavo mara kwa mara mpaka imefika hatua Binti kachoka, mama yake kumchukua kwenda kumpima wakamkuta na ujauzito wa sheikh, wakamshitaki akakamatwa Cha kushangaza sheikh aliachowa na Yuko uraiani Hadi kesho,
Waandishi wa habari Zanzibar wakalivalia njuga ili sheikh achukuliwe hatua stahiki Cha kushangaza sheikh akawatishia maisha
Kuna muda hata raisi wa zenji watu humsifu ila ukimtafakari zaid hamna kitu pale, japo ana juhudi sana, ilaaaaaaaaa
Am big brother alex la king jr