Hivi kazi ya state house information director ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kazi ya state house information director ni nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tambarare, Jun 14, 2011.

 1. t

  tambarare Senior Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui labda kwa uelewa wangu mgodo,naomba kuuliza kazi ya rweyemamu pale ikulu ni nini? nimeuliza kwa sababu siku zoote rweyemamu akipigiwa simu kupata maelezo au ufafanuzi kuhusu ikulu atsema haaa nipigie baadaye and so and soo..........hajui majukumu yake au
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kazi yange ni kutengeneza mabango ya kampeni za uchaguzi za JK na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari pale rais anapoanguka jukwaani
   
 3. womanizer

  womanizer Senior Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uelewa mgodo au MGODORO?
   
Loading...