fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,668
Hivyo ndo vipimo vya mtu mwenye utajiri mkubwa?unafikiria kwa kutumia nin?Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
Hivyo ndo vipimo vya mtu mwenye utajiri mkubwa?unafikiria kwa kutumia nin?Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
Kuna wasanii wanapesa africa mashariki kama wanaotoka Uganda? Diamond show off kibao. Kwa chameleon wala bebe cool haingiiKuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.
Mnamuonea tu kijana wa watu mbona hata hao akina chameleon wana show off.Mondi kelele nyingi kokoro nyingi sanaaa ila Kuna wasanii mambo swaaf wametulia. Pesa za ukubwani ni zinakuwaga na mcheche sana
Umeitoa wapi? Mbona data za mwaka huu walimtaja Diamond akifuatiwa na Akothee then JoseeeJose Chameleone net worth $ 5 million.
Diamond Platnumz net worth $ 4 million.
Hivi wewe unacheza na wasanii wa Uganda kwa sababu tu huwaoni instagram. Wewe unaongelea nyumba south Africa wakati kuna jamaa ana mansion London.Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
Mwenzie ndo ana dream kunununua rolls Royce. Kitambo jamaa ana pimp hummer. Tuwe wakwel Jose Chameleon mambo ya Real estate amefanya zaman ukiacha muziki ndo yanayomuingizia kipato, kupga show jamaa keshakaa jukwaa moja na Jigger, Leone Island ni record Label ya wasanii karibia robo Uganda. Wasafi Bado kidogo.kwenye mali mtachemsha jamaa ana ndinga kali zote uzijuazo mpk juzi kaamua kuchukua mercedes old ya miaka ya 70,wrangler,ferrari,jeeprange anamiliki,sa ingine muache kelele kuna wanamuziki wana hela chafu hawaongei na show zao wanapiga kimya kimya.
Kuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.
Nyumba hati uliiona? Mkataba universal uliuona?Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
Mimi mwenyewe nimesoma Uganda since 1996 primary yote na O level yote.Mkuu siku nyingine uwe unatumia ' akili ' kidogo tafadhali. Kama uko ' smart ' upastairs ukisoma tu nilichokiandika utaweza kuelewa nini nimekimaanisha na badala yake umekuja na ' hoja ' mfu kabisa ya kunijibu. Bahati nzuri sana nimesoma na kukulia sana Nchini Uganda na naweza kusema Uganda is my second home na huyo Msanii Jose Chameleone nimeanza kumjua kama Mwanamuziki ' mahiri ' na ' tajiri ' takribani miaka 15 iliyopita na hata ukitafiti tu mwenyewe kati ya Jose Chameleone na Diamond nani ni ' tajiri ' hakuna ' ubishi ' kuwa Mganda Jose Chameleone ana ' mtonyo ' wa uhakika halafu hana tu ' Pesa ' lakini pia ana ' assets ' za kutosha ambazo ameweza kuwa nazo nchini Uganda muda mrefu tu wakati huku kwetu ndiyo kwanza Diamond ndiyo anaanza kuwa nazo. Kwanza naona kumpambanisha Jose Chameleone ' Kiutajiri ' na Diamond ni ' kumtusi ' au ' kumdhalilisha ' tu Mganda wa Watu.
We na akili zako timamu kabisa unaamini kuwa Diamond anamiliki mabilioni kwenye account yake?Jose Chameleone net worth $ 5 million.
Diamond Platnumz net worth $ 4 million.
Mabaya yake ushahidi hamuulizi mazuri mnataka ushahidi..Nyumba hati uliiona? Mkataba universal uliuona?
Alitimuliwa kwenye hiyo nyumba si kwasababu alishindwa kulipia kodi na tena alitaka kuinunua kabisa mwenye nayo akakataa.We na akili zako timamu kabisa unaamini kuwa Diamond anamiliki mabilioni kwenye account yake?
We bila shaka utakuwa unaishi mikoani huko ila tulio mjini tunaona kabisa kwa macho yetu jamaa Hana kitu sifa tu zimemjaa.
Diamond gari anayotamani kununua ni Royce rolls na thamani yake kwa uchache ni $304,350 na huyu alivyokuwa mpenda sifa kama angekuwa ana miliki $4 million angekuwa kishanunua hiyo ndinga tena hata mbili kwa mkupuo ili awanyime wapinzani wake usingizi.
Juzi kati katoka kutimuliwa kwenye nyumba ambayo ndio ilikuwa studio za wasafi pale Sinza.
Kama angekuwa na $4 milioni bila shaka asingekubali kupata aibu ya kutimuliwa angempa huyo mwenye nyumba milioni kama 150 akanunua hiyo nyumba Au angeenda kununua nyumba nyingine Mitaa ya Sinza aweke studio yake sehemu Tulivu ila mpaka leo bado kapanga Sinza sehemu ulipo studio ya wasafi.
Usisahau kuwa Diamond kamaliza kujenga nyumba yake mwaka jana nyumba ambayo kaanza kuijenga toka anatamba na mbagala yaani kifupi kajenga nyumba yake moja kwa miaka mitano na miaka yote alikuwa amepanga upande tu Sinza sasa kwa akili zako mtu mwenye $4 million angehitaji kupata shida kwenye nyumba za kupanga?
Acha kudanganyika.
Kwahiyo kuanza zaman game ndio kuwa na hela nyingi? Sikujua kama nawewe ni killaza hivo
Mimi mwenyewe nimesoma Uganda since 1996 primary yote na O level yote.
And by the way hoja yangu ilikuwa mtu kuanza kusikika kitambo siyo hoja ya kumfanya awe na pesa nyingi.
Hakuna sehemu nimebisha kuwa chameleone ana ela zaidi ya diamond ila nimepingana na kigezo chako ulichotumia kufikia hiyo conclusion.
Basi sawa Bwana majivuno.Sioni hata tunachoendelea ' kubishana ' hapa ni nini wakati nimejitahidi mno kukupa maelezo ya kutosha lakini bado tu upo pale pale. Hata hivyo nimefurahi kusikia kuwa kumbe na Wewe umesoma Uganda kwani najua kuwa hata huko Uganda kuna Shule ' kadhaa ' zinazojulikana kwa kuzalisha ' remnants ' hivyo yawezekana ukawa ni ' products ' za ' kutukuka ' kabisa za hizo Shule.
We unaamini kabisa kuwa kuna nyumba isiyouzwa labda ikuluAlitimuliwa kwenye hiyo nyumba si kwasababu alishindwa kulipia kodi na tena alitaka kuinunua kabisa mwenye nayo akakataa.
walimtimua kwasababu ya makelele waliyokuwa wanasababisha yoo yoo nyingi
Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi