kwanza karibu jf family lakini suala zima la mabavu au mwaliko sana sana mko wa ruvuma mimi ningekuwa mmoja wa waalimu hao ningeshukuru sana kupata fursa ya kukaa na mh rais na kumueleza au yeye kupata fursa ya kutusikiliza waalimu na matatizo yetu kwa ukaribu zaidi watanzania tuache ulimbukeni tutetee utaifa sio upuuzi wengi wetu shida za waalimu hatuzijui kwa undani zaidi ya kuzisikia tu naamini ukiwauliza hao walimu walilichukuliaje suala zima la mh kuwepo hapo jibu lao unalijua tetea utaifa